Siri Kubwa Uliyofichwa Kuhusu Mafanikio Ya Biashara…

Siri Kubwa Uliyofichwa Kuhusu Mafanikio Ya Biashara…

Mpendwa Mpambanaji ,

Nakuamini Usiseme Kabisa Siri Hii…

Nahitaji Mimi Na Wewe Tuzungumze Kidogo Leo.

Kuhusu Kitu Ulichopaswa Kukifahamu Tangu Miaka 20 Iliyopita.

Changamoto Ni Kwamba Watu Wengi Hawapendi Kukizungumzia ,

Kwa sababu Ni SIRI Ambayo Wanataka Iendelee Kubaki Katika Mizizi Ya Familia Zao.

Ila Kuanzia LEO haitakuwa SIRI tena Kwa sababu ninaitoa Kwako…

Je, Umekua Unauza Sana Lakini FAIDA Huioni Mpaka Umeanza Kuwasingizia Chuma Ulete…?

Kama umejibu NDIYO,

…na unataka biashara yako isikupe stress kabisa, na usiku ulale fofofo kama mtoto mchanga huku ukitabasamu.

Basi unatakiwa Kabisa kukamata Kitabu Chako Cha Elimu Ya Msingi Ya Biashara, na kuanza kukisoma SASA HIVI bila kupoteza muda,

Hii ni Kwa sababu kwenye SURA YA SABA ya Kitabu Cha Elimu Ya Msingi Ya Biashara…

 Utapata nafasi ya kujifunza kwa kina kuhusu MZUNGUKO WA FEDHA Kwenye BIASHARA YAKO.

 Ina Maana utaweza kujua FAIDA Na HASARA Kwenye Biashara Yako.

Utafamu kanuni Muhimu kuhusu MAUZO na FAIDA ina Maana utaweza Kuifahamu FAIDA ya biashara yako kwa haraka sana na itakusaidia uokoe muda wako.

Utaweza kuona Wapi FAIDA ya biashara yako inapopotelea na JINSI YA KUIKOA ina Maana hutopata tena HASARA Kwenye biashara Yako.

Na Mengine mengi Muhimu kuhusu biashara,

…kama vile Biashara Sahihi Kwako Kufanya, Jinsi Ya Kupata Wazo Bora La Biashara, Jinsi Ya Kuboresha Wazo Lako La Biashara, Jinsi Ya Kuandaa Mpango Wa Biashara, Jinsi Ya Kuilinda Biashara Yako Isife, Mbinu Za Kufufua Biashara Iliyokufa, Jinsi Ya Kununua Uhuru Wako Kutoka Kwenye Biashara Yako, nakadhalika.

Kitabu Hiki Thamani Yake Ni Zaidi ya Tsh 50,000…

Lakini wewe unakipata kwa gharama ndogo na unayoweza kuimudu ya Tsh 19,999 TU!

Kwa uwekezaji huo mdogo utakaoufanya leo, utaweza kuvuna thamani kubwa sana kwenye biashara yako.

Kupata kitabu hiki SASA HIVI Tuma Meseji Inayosomeka “BIASHARA”Kwenda WHATSAPP Namba 0752977170 na utaletewa au kutumiwa ulipo.

Na kwa kuwa nina uhakika kuwa Kitabu Hiki kitakusaidia nakupa siku 30 za kurudishiwa fedha zako. Yaani ni 100% Money Back Guarantee.

Yani Nunua Kitabu Hiki LEO, kisome kisha kama hakijakusaidia basi nitakurudishia fedha Yako yote (Ina Maana Hauna Cha Kupoteza!)

Na Uzuri Kitabu Hiki utatumiwa POPOTE pale ULIPO Ndani Ya Tanzania.

Kama upo NDANI ya MKOA wa Dar-es-salaam utakipata Kitabu Hiki NDANI YA MASAA 24 TU!

Lakini Kama Upo NJE ya MKOA wa Dar-es-salaam utakipata Kitabu Hiki NDANI YA MASAA 48 TU!

Wasiliana sasa na 0752977170 ili usikose thamani hii kubwa na isiyo na cha kupoteza kwa upande wako.

Kitu Pekee Utakachojutia Mara Baada ya kumaliza kusoma Kitabu Hiki ni Kwamba Kwani hukukisoma MIAKA 20 ILIYOPITA.

MUHIMU;Chukua hatua ya kukipata na kukisoma leo, ili kesho usiwe na majuto kwa biashara yako kushindwa kukua.

Shabiki Yako Namba 1,

BwanaRama|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Karibu, www.somavitabu.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post