Msimu Huu Wa Sikukuu 2022 Na Zawadi Utakazopata.

…Msimu Huu Wa Sikukuu 2022 Na Zawadi Utakazopata.

Rafiki yangu mpendwa,

Kwenye msimu huu wa sikukuu, umeombwa na kutoa zawadi mbalimbali kwa watu wengi wa karibu kwako.

Umekuwa tayari kufanya hivyo kwa sababu ni watu muhimu sana kwako, watu ambao unawajali sana na umetaka kuona wakifurahia msimu huu wa sikukuu.

Lakini kuna mtu mmoja muhimu zaidi kwako ambaye umemsahau katika kumpa zawadi.

Mtu huyo ni wewe mwenyewe.

Unaweza kuwa umejipa zawadi ya nguo, sherehe na mengine ya aina hiyo.

Lakini hizo ni zawadi za kupita, ambazo muda mchache utakuwa umezisahau kabisa.

Kwa kuwa wewe ni rafiki yangu na ninakujali sana, kuna zawadi moja kubwa sana ninayokwenda kukushauri ujipe wewe mwenyewe mwaka huu.

Zawadi hiyo ni KUANZA BIASHARA kama bado hujaanza na kama tayari umeshaanza basi ikuze biashara yako mara mbili ya ilivyo sasa.

Kama bado hujaanza biashara najua kwa muda mrefu umekuwa unajiambia utaanza ila unaona hujawa tayari.

Umekuwa unasubiri mpaka kila kitu kikamilike ndiyo uanze.

Na hapo ndipo umekuwa unajichelewesha wewe mwenyewe.

Leo nakuambia upo tayari kuanza biashara.

Tayari unacho kila unachohitaji ili uweze kuanza biashara yako.

Ni wewe tu kuamua kuanza na kuanza mara moja.

Na hapa nimekuandalia zawadi ambayo itakuwezesha ukamilishe hilo.

Kama tayari una biashara, najua umekuwa unaiendesha kwa mazoea kwa muda sasa.

Umeridhika na wateja ambao tayari unao na kiasi cha mauzo unayofanya.

Lakini kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni biashara yako bado ina nafasi ya kukua zaidi.

Unaweza kuongeza wateja zaidi na kuongeza mauzo zaidi.

Hivyo zawadi ya kujipa 2022 ni kuongeza wateja mara 2 ya ulionao sasa na kuongeza mauzo yako mara mbili pia.

Usijiambie hilo ni gumu au haliwezekani, kwani nimekuandalia zawadi ya kuhakikisha linawezekana kabisa kwako.

Hivyo rafiki yangu, jipe zawadi ya kuanza biashara kama bado hujawa na biashara na kama tayari unayo biashara, ikuze mara mbili ya ilivyo sasa.

Zawadi ya kukuwezesha kukamilisha zawadi yako.

Rafiki yangu, kwa sababu nakupenda na kukujali sana, nimekuandalia zawadi nzuri itakayokuwezesha kukamilisha kujipa zawadi ya biashara.

Zawadi hiyo ni kupata vitabu vinne (4).

Na habari njema ni kwamba leo utapata vitabu hivi vinne (4) Vitakavyokusaidia Kukuza Biashara Yako Ndani Ya Mwaka Mmoja (1).

Utajisikiaje leo ukavipata vyote vinne (4) ndani ya kifurushi kimoja (1)?

Kama utajisikia vizuri kama mimi basi kamata kifurushi chako mapema.

Hivi Hapa;

ELIMU YA MSINGI YA FEDHA.

ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA.

MJASIRIAMALI MJANJA.

CHUO CHA MAUZO.

Rafiki yangu, sina uhakika kama itakufaa lakini ukipiga sasahivi simu hii 0752977170,

…utapata utaratibu kamili wa kupata kifurushi hiki.

KUMBUKA; Watatu (3 ) wa kwanza watapata Soft copy ya kitabu cha SIMU YAKO OFISI YAKO, bure kabisa.

Karibu Sana.

Imetoka Kwa Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MuuzajiBoraKuwahiKutokea|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post