Nataka Kuwa Muuzaji Bora Lakini Nashindwa Nifanyaje?.
Rafiki Yangu Mkubwa,
Hii ni sauti iliyokosa matumaini kutoka kwa rafiki yangu mwingine anayeitwa David.
Ni miezi miwili iliyopita nikiwa bado nipo Tabata Dar es Salaam Tanzania.
David alinipigia simu baada ya kupokea akaniuliza hili swali Nataka kuwa muuzaji bora nifanyaje?
Na hakuishia hapo tu akaniambia pia anataka kuwa Tajiri Mkubwa.
Nikamtia moyo kwa kumjibu anaweza kuwa muuzaji bora wa muda wote kama akiamua kwa dhati kabisa.
Akasema kweli eeh?
Nikamwambia ni kweli.
Basi akatabasamu kidogo,
Kisha nikamuuliza na yeye hili swali hapa chini,
Kwa nini unataka kuwa muuzaji bora ?
Akanijibu!
Kwa kusema anataka kuwa muuzaji bora kwa sababu amesikia kutoka kwa wahamasishaji wakubwa kuwa akiwa muuza bora atapata utajiri mkubwa.
Akasisitizia kwamba ndoto zake kubwa tokea utotoni ni kuwa Tajiri mkubwa.
Nikawa naendelea kumsikiliza,
Huku kimoyo moyo nikijisemea ndio maana anakataliwa hii SABABU HAINA NGUVU SANA KWA SABABU NI SABABU YA KIBINAFSI SANA.
Na hajawaza kabisa jinsi ya kutatua matatizo ya wateja wake.
Akaendelea kunisimulia,
Kazi yangu kubwa ikawa ni kumsikiliza kwa makini sana.
Nikaona kwa sababu wewe ni rafiki yangu mkubwa ambaye tunashauriana mambo mengi sana na ya msingi.
Nikaona nikushirikishe ili unishauri.
Kama unavyonishaurigi kila siku na kuniambia kwamba mauzo ndio moyo wa biashara.
Kama kawaida ili ufanikiwe sana kwenye kile unachofanya lazima ujue kukiuza vizuri.
Na mimi siwezi kuuza vizuri nifanyaje?
Nataka kuuza bidhaa zangu, huduma zangu lakini nashindwa nimeishia kukataliwa.
Wewe mwenyewe unajua jinsi ambavyo kukataliwa kunavyo uma ni zaidi ya maumivu ya kuchomwa sindano ya ganzi.
Na ukizingatia huu ujuzi haufundishwi darasani.
Nimejaribu kujifunza lakini nmeshindwa.
Mpaka nimekuwa mtu wa kujichukia kwa kwasababu hakuna ninaye weza kumuuzia.
Nikawa sijiamini tena.
Baada ya kumaliza kumsikiliza,
Sikufichi nilimuonea huruma sana,
Kwa sababu miaka 11 iliyopita nilipitia hali kama hii.
Na nilikuwa sijui nifanye nini na nilikuwa sina mtu wa kumuomba ushauri kipindi hiko.
Kwa sababu nilikuwa nimezungukwa na watu waliojikatia tamaa.
Wakati mwingine nikawa nahisi kabisa nina mikosi.
Mpaka ikafikia steji nika kata tamaa kabisa.
Na kuhisi labda sijazaliwa ili nije kuwa muuzaji bora.
Mpaka mda mwingine nikawa nahisi uchungu moyoni.
Na kujiuliza Kwa nini kila siku mimi tu?
Hali yangu ilibadilika baada ya kupata maarifa sahihi na njia bora kabisa za kuuza kwa urahisi na sasa naweza kuuza vizuri kwa yeyote ninayetaka kumuuzia iwe ni bidhaa au huduma.
Kwa hiyo nikampa mbinu ambazo zinaeleweka ambazo zilinisaidia sana.
Na mbinu zote hizo ni mbinu za kijasiriamali na mjasiriamali mjanja yeyote lazima azijue.
Nakazia hapa,
Siyo kila Mjasiriamali ni Mjanja.
Na ushauri wote nilio mpa unapatikana kwenye sheria namba 8 kati ya sheria 10 za ujasiriamali.
Sheria hiyo utaikuta kwenye kitabu hiki kipya kinachoitwa MJASIRIAMALI MJANJA.
Baada ya kumpa ushauri ule na kwa sababu ni msikivu sana aliufanyia kazi na sasa huu ni mwezi wa pili tangu nimpe huu ushauri .
Sasahivi anajiamini sana na anaweza kumuuzia yeyote yule hata aweje.
Haijalishi ni mweupe, mweusi, mkubwa, mdogo, anacheo au hana cheo.
Yeye ni kuuza tu!
Kwa ufupi kwa sasa anayafurahia maisha yake mpaka ndugu na jamaa wanaulizana imekuwaje mbona imekuwa ghafla sana.
Yeye huwa anacheka na kutabasamu tu kwa sababu hawajui msoto aliokula mpaka kufikia hapo.
Na mimi sitaki upitie huo msoto.
Na ndio maana nakushirikisha hiki kitabu kipya kinachoitwa MJASIRIAMALI MJANJA.
Kilipotoka mwezi huu wa 9 yeye ndiye aliye kuwa rafiki yangu wa kwanza kabisa kukipata na sasa anaziishi sheria zote 10.
Pata picha aliitumia sheria moja tu ambayo ni ya 8 ya jinsi ya kuwa muuzaji bora.
Na anayafurahia maisha kiasi kile je akizitumia sheria zote 9 zilizobaki hakika dunia itamjua.
Saa zingine huwa nafurahi na kutabasamu kimoyo moyo kuona nimebadilisha maisha ya rafiki yangu (David).
Nakuamini anaenda kuishangaza dunia siku si nyingi.
Na kwa sababu rafiki yangu anaroho nzuri kaniomba sana.
Niwashirikishe somo hili ili muweze kuchukua hatua.
Na nyie muweze kuyafurahia maisha.
Kwa nafasi hii nakushauri sana uziishi hizi sheria 10 za ujasiriamali hasahasa sheria namba 8 inayofundisha jinsi ya kuwa muuzaji bora.
Ina maana ya baada ya wewe kuiishi hii sheria hakika utakuwa muuzaji bora usiye shikika.
Na utaingiza dola za kutosha.
Kukipata kitabu hiki kipya kinachoitwa MJASIRIAMALI MJANJA.
Nipigie kwenye namba hii 0752977170.
Karibu sana.
SOMO;
Kama tulivyoona hapo juu,
Mtu Yeyote anaweza kuwa muuzaji bora.
Lakini kwanza kabisa lazima uanze na sababu kubwa itakayokusukuma na ambayo inagusa maisha ya wengine na sio sababu ya kibinafsi ya kujifikiria wewe tu.
Kisha upate maarifa sahihi na ushauri kutoka kwa mtu ambaye ana maarifa sahihi na anayefanya vizuri kwenye mauzo.
Hakika utauza kama njugu na utapata DOLA za kutosha mpaka ushangae.
Tuwasiliane kwa namba hii 0752977170.
Kupata kitabu hiki kipya cha MJASIRIAMALI MJANJA kwa Punguzo La Bei Ya Tshs 19,999Tu Badala Ya Tshs 30,000 Nzima.
Okoa Elfu 10 Nzima.
Kumbuka; MWISHO NI TAREHE 30 MWEZI HUU.
Tukutane Kileleni.
Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|