Njia Rahisi Itakayokusaidia Kukabiliana Na Rafiki Hasi Kwenye Maisha Yako.
Takwimu zinaonesha kwamba,
Wastani wa watu wanne (4) unaojihusisha nao kwa siku wana mitazamo hasi.
Unaye rafiki yeyote ambaye ni hasi?
Je, unaye rafiki ambaye ukikaa naye unaishia kujisikia vibaya?
Je, unaye rafiki ambaye anapenda kulalamika?
Je, unaye rafiki ambaye ukikaa naye unahisi kukata tamaa?
Je, unaye rafiki anayeamini kutowezekana kuliko kuwezekana?
Kama umejibu ndio ,
Kabla ya kujifunza njia rahisi itakayokusaidia kukabiliana na rafiki hasi.
Tuangalie kwanza utofauti uliopo kati ya matajiri na masikini wanavyojihusisha na rafiki hasi.
Matajiri huwa wanajenga mahusiano na watu wenye mitazamo chanya na waliofanikiwa.
Watu wanaoamini kwenye uwezekano na wanaohamasisha na kutoa matumaini.
Masikini huwa wanajenga mahusiano na watu wenye mitazamo hasi na walioshindwa.
Watu waliokata tamaa na wanaoamini haiwezekani na wanaondoa matumaini.
Watu wanaokuzunguka wanayaathiri sana maisha yako.
Pale ulipo kimaisha sasa ni wastani wa walipo wale unaotumia nao muda wako mwingi.
Matajiri wanajua ili wawe matajiri na wabaki kwenye utajiri, wanapaswa kujihusisha na watu matajiri.
Hivyo marafiki zao huwa ni matajiri wenzao, tena wale waliowazidi utajiri.
Masikini hubaki wakiwa wamezungukwa na masikini na hilo kuwafanya wabaki kwenye umasikini wao.
Ili ufikie utajiri, chagua kujenga mahusiano na watu matajiri au wanaoelekea kwenye utajiri.
Pia lazima uwapunguze watu hasi kwenye maisha yako,
Wale ambao ukikaa nao unaishia kujisikia vibaya na kukata tamaa.
Zungukwa na watu chanya,
Ambao ukikaa nao unajisikia vizuri na kupata hamasa na matumaini ya kupata utajiri zaidi.
Bonyeza Hapa http://bit.ly/somavitabuapp.
Kujifunza njia rahisi itakayokusaidia kukabiliana na rafiki hasi kwenye maisha yako.
Karibu sana usome EBOOK mpya inayoitwa TABIA ZA KITAJIRI,
Ujifunze kwa kina na kuyaelewa maarifa haya muhimu sana kwako,
Kisha uchukue hatua ili maisha yako yaweze kubadilika, ufike kwenye utajiri, mafanikio na furaha.
JINSI YA KUTUMIA EBOOK YAKO.
EBOOK mpya inayoitwa TABIA ZA KITAJIRI inapatikana kwenye app ya SOMA VITABU ambayo inapatikana kwenye mfumo wa ANDROID (PLAY STORE).
Kupata app hiyo fungua kiungo hiki; http://bit.ly/somavitabuapp au nenda moja kwa moja kwenye play store kisha tafuta SOMA VITABU.
Ukishaweka app kwenye kifaa chako (simu au tablet) utakiona kitabu na kufuata mchakato wa kukinunua moja kwa moja kwenye app.
Kupata maelezo zaidi ya jinsi ya kutumia app, kununua na kusoma vitabu, fungua hapa; https://www.kisimachamaarifa.co.tz/somavitabuapp .
Au Piga Simu Namba 0752977170, Kwa Msaada Zaidi.
ZAWADI YA EBOOK.
Rafiki yangu mpendwa,
Kwa kuwa umekuwa unafuatilia mafunzo ninayotoa kwa muda mrefu,
Nakwenda kukupa EBOOK hii ya TABIA ZA KITAJIRI KAMA ZAWADI.
Hivyo kwa siku hizi chache utakipata kitabu hiki kwa TSH elfu moja(1) pekee (1,000/=).
EBOOK hii ina thamani ya mamilioni kwako, ila wewe unakipata sawa na bure kabisa, kwa TSH elfu moja tu.
Lengo langu ni wewe usiwe na sababu yoyote ya kukikosa,
Kwa sababu nataka sana uyabadili na kuyaboresha maisha yako na maarifa yaliyo kwenye kitabu hiki ndiyo unayahitaji sana.
Chukua hatua sasa rafiki yangu,
Zawadi hii ni ya muda mfupi, bei ya EBOOK hii itakuwa kubwa zaidi baadaye hivyo usikubali kukosa.
Utajiri ni haki na wajibu wako, kama wapo wengine walioweza kufikia utajiri, na wewe pia unaweza kuufikia.
Unachohitaji ni kuijua kanuni sahihi na kuifuata.
EBOOK hii ya TABIA ZA KITAJIRI ina kanuni hizo, wajibu wako ni kuzijua na kuzifuata na utajiri kwako unakuwa swala la muda tu.
Jipatie kitabu chako sasa kwa bei ya zawadi, fungua; http://bit.ly/somavitabuapp