Njia Zaidi Ya 5 za Kuwadhibiti Wasumbufu Bila Kutumia Nguvu Nyingi Zimegundulika…
Rafiki Yangu,
Heri Ya Sikukuu Ya Saba Saba (7 7)…
Leo ukiweza kusoma makala hii mpaka mwisho basi hakuna msumbufu atakayekutishia amani tena.
Hakuna anayeweza kubisha kwamba kumekuwa na ukuaji mkubwa sana wa teknolojia kwenye zama tunazoishi sasa.
Kuna maendeleo makubwa ambayo yametokea tangu kuanza kwa karne ya 21 ambayo hakuna aliyetegemea yangetokea kwa kasi kubwa hivyo.
Nani alidhani angeweza kuwasiliana na mtu aliye bara la mbali kwa kuonana uso kwa uso bila hata ya kutumia gharama kubwa?
Nani alifikiri vitabu vyote duniani vingeweza kuweka mtandaoni na ikawa rahisi mtu kuvipata na kuvisoma?
Nani alifikiri kungekuja simu za mkononi (simu janja) ambazo unaweza kuzitumia kufanya kila kitu kama unavyotumia kompyuta,
…kuanzia kuwasiliana, kutunza kumbukumbu, kupiga picha, kurekodi sauti na video, kuuza na kununua na hata kujifunza?
Haya ni maendeleo makubwa, ambayo mtu aliyefariki kwenye karne ya 20,
…akifufuliwa leo atashangaa mno kwa maendeleo haya na angetegemea kuona maisha ya watu yakiwa bora kutokana na maendeleo haya makubwa.
Lakini hapo ndipo atakaposhangazwa zaidi, kwani licha ya maendeleo makubwa ya teknolojia atakayokuwa ameyaona,
…atagundua maisha ya watu yako hovyo kuliko kipindi ambacho teknolojia hizo hazikuwepo.
Atashangaa kuona watu wakiwa wamechoka, wana msongo na hawana muda kabisa.
Atashangaa kuona watu wakitumia muda wao mwingi kwenye simu zao, kwa mambo ambayo hayana manufaa kwao.
Atashangaa jinsi watu wanaonena wivu kwa mambo ambayo wanayaweka kwenye mitandao ya kijamii.
Ujumbe atakaokuwa ameupata ni mmoja, kwamba teknolojia hizi mpya ambazo zina nguvu ya kufanya maisha ya wengi kuwa bora,
…zimegeuka kuwa gereza lililowafungia wengi na hawana tena uhuru wa kuyaishi maisha yao.
Ni dhahiri kwamba teknolojia mpya, hasa simu janja na mitandao ya kijamii, vimekuwa tatizo kubwa kwa wengi.
Kila mtu analalamika jinsi vitu hivyo vinavyochukua muda mwingi, kuleta uchovu na hata msongo.
Wanaotengeneza na kuendesha teknolojia hizo hawajali kuhusu hilo, kwani kadiri unavyozitumia kwa muda mrefu, ndivyo wao wanavyopata faida.
Hivyo wamejipanga kuhakikisha watumiaji wanaendelea kuwa wafungwa kwenye teknolojia hizo.
Na kwa kuwa teknolojia hizi ni mpya, hakuna mwenye uzoefu wa jinsi ya kukabiliana nazo,
…hivyo watu wanaingia kwenye teknolojia hizo mpya kwa kuhadaiwa watanufaika sana, lakini kinachotokea ni wanageuzwa kuwa wafungwa.
Leo nina habari njema kwako, habari hizo ni kupatikana kwa mwongozo wa kuzitumia teknolojia hizi mpya vizuri na ukombozi wa ufungwa ambao teknolojia hizo zimetengeneza kwako.
Tumekuandalia kitabu kinachoitwa EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI, kitabu kinachokuonesha jinsi teknolojia mpya zinavyokufanya mtumwa na njia za kuondoka kwenye utumwa huo.
Kupitia kitabu hiki utajifunza njia zaidi ya 5 ambazo zitakufanya uwe huru na uondokane na usumbufu kabisa.
NYONGEZA; Utajifunza jinsi ya kutumia vigezo vitatu vya AFYA, UTAJIRI na HEKIMA, ina maana utaweza kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na kuwa huru.
Upo kwenye vita, adui mkuu anajua yuko vitani ila unaolengwa hajui.
Hivyo unapaswa kuwa na maandalizi mazuri ya kupambana na vita hii ili uweze kutoka salama na siyo kuwa mfungwa.
Soma kitabu cha EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI ili upate mbinu za kupambana kwenye vita hii na kutoka ukiwa mshindi.
Kitabu hiki kimechapwa kwa nakala ngumu (hardcopy).
Kitabu hiki huwa ni tsh elfu 20 (20,000/=),
Lakini KWA SABABU LEO NI SIKUKUU YA SABASABA (7 7) utakipata kwa zawadi ya tsh elfu Tshs 14,999 Tu!
KUMBUKA; Ni Tshs 14,999Tu! Na Sio Tshs 20,000.
OKOA Tshs 5,000 NZIMA..
Kupata kitabu chako piga namba hii 0752 977 170 na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo Tanzania na Afrika Mashariki.
MUHIMU; Kama utanunua na kusoma kitabu hiki na ukaona hakina manufaa yoyote kwako, unaruhusiwa kukirudisha na ukarejeshewa fedha zako.
Hivyo chukua hatua sasa, huna cha kupoteza lakini una mengi ya kupata.
Karibu, 0752977170.
Kutoka Kwa Shabiki Yako Namba 1 Tanzania,
AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|