SHEREHEKEA HUDUMA: Jinyakulie Zawadi Za Wiki Ya Huduma Kwa Wateja.

SHEREHEKEA HUDUMA; Jinyakulie Zawadi Za Wiki Ya Huduma Kwa Wateja (Customer Care).

 Rafiki Yangu Mkubwa,

Umekuwa Mtu Muhimu Sana Kwetu.

Kila mda huwa tunakufikiria na kuona tunawezaje kuboresha maisha yako.

Na mara zote umekuwa mshindi.

Yes wewe ni mshindi.

Basi nakuomba nichukue nafasi hii kukujulisha kwamba kuanzia leo tarehe 6/10/2022 mpaka Tarehe 9|10|2022
Ndio mwisho wa kupata zawadi zako.

Baada ya Tarehe 9 kupita hutaweza kuzipata tena zawadi hizi.

Rafiki, kama bado hujapata zawadi hizi za wiki ya HUDUMA KWA WATEJA,

…basi wakati wako ni sasa hivi, ukishindwa kuchukua hatua sasa, utaikosa.

Ukiikosa nafasi hii ya kipekee leo, itakubidi usubiri tena mpaka mwakani.

Yes Umesikia Vizuri Inabidi Usubiri Tena Mpaka Mwakani Tarehe Kama Za Leo.

Chukua hatua sasahivi,

Fanya malipo ya vitabu hivi 8 vizuri kwa tsh Tshs 34,999Tu,bila ya kutolea.

Itume kwenda MPESA namba 0752977170.

JINA; AMANI MAKIRITA.

Kisha tuma ujumbe wenye email yako pamoja na maelezo umelipia zawadi za vitabu na kisha utatumiwa zawadi zako mara moja.

Napenda sana wewe rafiki yangu upate zawadi hizi za vitabu vizuri.

…ili vikusaidie kukuvusha kipindi hiki ambacho kila mtu analalamikia ugumu wa maisha.

Ukisoma vitabu hivi utajitofautisha kwa haraka sana na hivyo utawahi kuziona fursa kibao pale pale ambapo wengine wakiwa wanaendelea kulalamikia ugumu wa maisha.

FURAHIA HUDUMA; Hizi Hapa Zawadi Zako.

Zawadi Za Wiki Ya Huduma Kwa Wateja (vitabu 8).

Rafiki yangu,

Zawadi ya vitabu nane ninavyokwenda kukupa leo ni vitabu ambavyo vimeandikwa kwa lugha rahisi kabisa ya Kiswahili ambayo kila mtu anaweza kuisoma na kuielewa.

Lakini pia vitabu hivi vipo kwenye mfumo wa nakala tete (SOFT COPY),

…hivyo unaweza kusomea kwenye simu, tablet au kompyuta.

Huhitaji kubeba kitabu wala kuwa na bando kila wakati ndiyo usome,

…badala yake ukishakuwa na kitabu kwenye kifaa chako, unasoma muda wowote bila ya kikwazo chochote.

Unachohitaji ili kupata zawadi hii ya vitabu ni email (barua pepe ambapo utatumiwa vitabu hivi.)

Hivi Hapa Vitabu 8 Unavyokwenda Kuvipata.

1.        KWA NINI MPAKA SASA WEWE SIYO TAJIRI;

Sababu 25 kwa nini unaendelea kuwa masikini.

Kitabu hiki kinakupa sababu 25 zinazokuzuia wewe kutoka kwenye umasikini na kwenda kwenye utajiri.

Kuna mambo mengi umekuwa unafanya kwa mazoea, lakini ni kikwazo kikubwa kwako kupiga hatua.

Soma kitabu hiki, yajue mambo hayo 25 na yabadili ili uweze kupiga hatua kwenye maisha yako.

Bei ya kawaida ya kitabu hiki ni tsh elfu 5 (5,000/=) lakini kwa zawadi utakipata kwa tsh elfu 3 (3,000/=).

Kukipata tuma fedha tsh 3,000/= kwenda MPESA Namba 0752977170 kisha tuma email yako na jina la kitabu na utatumiwa.

Chukua hatua sasa ili usikose zawadi hii, ni kwa muda tu.

2.        JINSI YA KUNUFAIKA NA MABADILIKO YANAYOTOKEA KWENYE MAISHA;

 Maandalizi na njia bora ya kunufaika na mabadiliko kwenye maisha, kazi na biashara.

Kuna kitu kimoja pekee ambacho huwa hakibadiliki kwenye maisha, kitu hicho ni mabadiliko.

Yaani mabadiliko lazima yatokee, iwe unataka au hutaki. Mfano mzuri ni hali tunayopitia sasa, hii inaleta mabadiliko makubwa sana kwenye maisha yetu.

Sasa kwenye kila mabadiliko kuna makundi matatu ya watu, kundi moja wanafaniwa sana, kundi jingine wanakuwa kawaida na kundi jingine wanaachwa nyuma.

Soma kitabu hiki uyajue kwa kina makundi haya na jinsi ya kuwa kwenye kundi linalofanikiwa sana.

Bei ya kawaida ya kitabu hiki ni tsh elfu 5 (5,000/=) lakini kwa zawadi utakipata kwa tsh elfu 3 (3,000/=).

Kukipata fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu cha kwanza hapo juu.

Tuma fedha na ujumbe wenye email yako na jina la kitabu na utatumiwa.

3.        JINSI YA KUTENGENEZA KIPATO KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG,

Jiajiri na utajirike kupitia mtandao wa intaneti.

Kama kuna kitu kimoja ambacho hali inayoendelea sasa inatufundisha, basi ni uwezo wa kufanyia kazi nyumbani na ukalipwa na wengine.

Moja ya njia rahisi za kufanya hivyo ni kuwa na blogu ambayo inakuingizia kipato.

Kitabu hiki kinakupa maarifa ya kukuwezesha kuanzisha blogu na kuitumia kuingiza kipato.

Ukiwa na blog, unaweza kuiendesha ukiwa popote,

…hivyo hali kama hii inayoendelea sasa ya watu kuzuiliwa wasiwe na muingiliano sana, haikuathiri kwa kiasi kikubwa.

Pata kitabu hiki na uanzishe blogu yako mara moja kwa muda mwingi ulionao sasa na baadaye uweze kuingiza kipato kupitia blogu hiyo.

Bei ya kawaida ya kitabu hiki ni tsh elfu 10 (10,000/=) lakini kwa zawadi utakipata kwa tsh elfu 7 (7,000/=).

Kukipata fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu cha kwanza hapo juu.

4.        KURASA ZA MAISHA YA MAFANIKIO, TOLEO LA KWANZA 2016;

 Nidhamu, Uadilifu Na Kujituma.

Kila siku mpya unayoiona kwenye maisha yako, ni ukurasa mpya kwenye kitabu chako cha maisha.

Ukurasa huo ni mtupu, wewe ndiye unayeamua uandike nini kwenye ukurasa huo.

Kitabu hiki kinakupa hatua mbalimbali za kuchukua kwenye kila siku ya maisha yako, ili uweze kuwa na maisha bora.

Kinakupa msingi mkuu wa mafanikio ambao ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA.

Pata na usome kitabu hiki na kuishi msingi huo ili uwe na maisha bora.

Bei ya kawaida ya kitabu hiki ni tsh elfu 10 (10,000/=) lakini kwa zawadi utakipata kwa tsh elfu 7 (7,000/=).

Kukipata fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu cha kwanza hapo juu.

5.        BIASHARA NDANI YA AJIRA;

Anzisha na kuza biashara yako ukiwa bado umeajiriwa.

Katika zama hizi, ajira siyo salama kama kipindi cha nyua na pia mshahara umekuwa hautoshelezi kwa sababu ongezeko lake haliendani na ongezeko la gharama za maisha.

Lakini wengi wamekuwa wanakwama, hawawezi kuacha ajira zao na kwenda kuanza biashara kwa sababu tayari wanazitegemea ajira hizo.

Na hapa ndipo ninaposhauri mtu kuanza biashara akiwa bado ameajiriwa.

Kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA kinakupa mwongozo wa jinsi unavyoweza kuanzisha na kukuza biashara yako huku ukiendelea na ajira yako.

Utajifunza jinsi ya kupata wazo bora, kupata mtaji, kupata muda na mengine muhimu.

Soma kitabu hiki na uweze kuanza biashara mara moja.

Bei ya kawaida ya kitabu hiki ni tsh elfu 10 (10,000/=) lakini kwa zawadi utakipata kwa tsh elfu 7 (7,000/=).

Kukipata fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu cha kwanza hapo juu.

6.        MIMI NI MSHINDI; Ahadi yangu na nafsi yangu.

Hapo ulipo sasa na hatua uliyofikia, ni matokeo ya kile ambacho umekuwa unakijua na kukifikiria kwa siku za nyuma, ambavyo vimekusukuma kuchukua hatua hizi.

Kama unataka kupata matokeo bora zaidi siku zijazo, unapaswa kuchukua hatua leo, kwenye kile unachojia, namna unavyofikiri na hatua unazochukua.

Kitabu cha MIMI NI MSHINDI, kinakupa mbinu zote za ushindi na kisha unajipa ahadi ya ushindi, na ukichukua hatua kwenye yale unayojifunza, utapata ushindi mkubwa sana, hasa kwa nyakati tunazopitia sasa.

Soma kitabu hiki.

Bei ya kawaida ya kitabu hiki ni tsh elfu 10 (10,000/=) lakini kwa zawadi utakipata kwa tsh elfu 7 (7,000/=).

Kukipata fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu cha kwanza hapo juu.

7.        PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU; dhibiti muda wako ili uweze kufanya zaidi.

Mambo mengi na muda ni mchache ni kauli ambayo imekuwa maarufu siku za karibuni.

Kila mtu analalamika kwamba hana muda, ndiyo maana wengi hawasomi vitabu au kuchukua hatua za ziada kufanikiwa.

Sasa mimi nakuambia hilo siyo sahihi, kila mtu, haijalishi yuko bize kiasi gani, anaweza kupata masaa mawili ya ziada kila siku.

Soma kitabu hiki uone jinsi unavyoweza kuokoa muda mwingi kwenye siku yako. 

Na kama unajiambia husomi vitabu kwa sababu huna muda, basi hiki ndiyo kitabu cha kuanza nacho.

Bei ya kawaida ya kitabu hiki ni tsh elfu 5 (5,000/=) lakini kwa zawadi utakipata kwa tsh elfu 3 (3,000/=).

Kukipata fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu cha kwanza hapo juu.

8.        IJUE BIASHARA YA MTANDAO (NETWORK MARKETING); Miliki biashara kubwa kwa kuanza na mtaji kidogo.

Moja ya mifumo rahisi na inayomwezesha kila mtu kuingia kwenye biashara ni mfumo wa mtandao (networking) mfumo huu unatumia wale unaowajua kusambaza bidhaa na huduma mbalimbali.

Lakini mfumo huu wa biashara umepata sifa mbaya kwa sababu wengi hawaelezwi ukweli kuhusu aina hii ya biashara.

Kwenye kitabu cha IJUE BIASHARA YA MTANDAO, unajifunza kwa kina msingi wa biashara hii,

jinsi ya kuifanya kwa mafanikio na jinsi ya kuepuka kutapeliwa na makampuni yasiyo sahihi.

Soma kitabu hiki na uweze kufanya maamuzi sahihi kwenye biashara hii.

Bei ya kawaida ya kitabu hiki ni tsh elfu 5 (5,000/=) lakini kwa zawadi utakipata kwa tsh elfu 3 (3,000/=).

Kukipata fuata maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu cha kwanza hapo juu.

Pata vyote kwa pamoja.

Rafiki, kama utachukua vitabu vyote nane kwa pamoja, utavipata kwa bei ya tsh Tshs 34,999/=) hapo unakuwa umeokoa elfu 30 nzima, yaani unavipata vyote kwa nusu ya bei.

Je unasubiri nini rafiki yangu?

Chukua hatua sasa ili usikose zawadi hii, kwa sababu zimebaki siku 3.

Kupata Zawadi Hizi Za Wiki Ya Huduma Kwa Wateja.

Tuma TSHS 34,999Tu! kwenye namba 0752977170.

… kisha nitumie meseji inayosema * WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA* kwenye whatsApp Namba 0752977170.

Pamoja na Email Yako.
Karibu Sana.

Namba ni 0752977170.

Nakuamini Sana.

Bwana AmiryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post