Kwanini Uwe Makini Sana Na Kile Unachosema Na Kile Unachofikiri?

Kwanini Uwe Makini Sana Na Kile Unachosema Na Kile Unachofikiri?

Rafiki Yangu Mkubwa,

Unaweza Kupata Dakika 3?

Kama unaweza kupata dakika 3 tu basi unaenda kusoma kitu ambacho kita amsha uwezo uliolala ndani yako.

Kitu hicho kinaitwa * MWANGWI WA MAISHA*
Ndio umesikia vizuri,

Ni MWANGWI unaweza ukawa unajiuliza MWANGWI WA MAISHA NI NINI?

Basi usiwe na wasi wasi kwa sababu sekunde chache zijazo utajua maana ya MWANGWI WA MAISHA.

Mwangwi wa maisha.

Siku moja baba na mwana walikuwa wakitembea milimani mida ya jioni.

Ghafla, mwana akaanguka na kuumia mguu wake wa kulia na kupiga kelele sana:

” AAHHHHHHHH!!!”

Kwa mshangao, akaendelea
(Kupaza Sauti) kupiga kelele kwa sauti
kubwa:

Wewe ni nani?

Sauti ikamrudia.

“Wewe ni naniiii!?”

Akiwa amekasirishwa na hilo jibu,

(Akapaza Sauti) Akapiga kelele kwa sauti kubwa:

“MWOGA!”

Sauti ikamrudia tena.

“MWOGAAA!”

Baba yake akashtuka na kumuangalia mwanae kwa huruma.

Mwana akamuuliza baba yake.

Baba

” Ni nini kinaendelea?”

Baba akatabasamu na kumwambia:

“Mwanangu, nisikilize kwa makini”

Naye (Akapaza Sauti) akapiga kelele kwa sauti hadi milimani:

“Wewe ni mshindi”

Sauti ikamrudia

*Wewe ni mshindiii*

Baba hakuishia hapo,

Akaendelea (Akapaza Sauti) kupiga kelele tena kwa sauti kubwa.

“Wewe ni bingwa”

Sauti ikaa mrudia.

“Wewe ni bingwaaa!”
Kijana akawa anashangaa lakini haelewi ni nini kinaendelea.

Baba akaendelea kumuelewesha mwanae taratibu.

Hii huitwa MWANGWI.

Lakini ukweli ni kwamba , haya ni maisha!

MWANGWI inakupa kila kitu unachosema, au kufanya.

Maisha yetu ni onyesho tu la matendo yetu.

Ikiwa unataka upendo zaidi.

Unda upendo zaidi moyoni mwako.

Ikiwa unataka umahiri zaidi.

Boresha uwezo wako.

Uhusiano huu unatumika kwenye kila kitu.

Katika Nyanja zote za maisha yako!

Hii ndiyo tunaita MWANGWI WA MAISHA.

Maisha yatakurudishia kila kitu ulichotoa.

Kwa mfano leo hii ukitaka kuongeza kipato chako mara 10 zaidi ya ulivyozoea,

…basi soma kitabu hiki cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA,

Na ikiwa unataka na umepania kabisa kukuza Biashara yako na kuiendesha kisasa,

…basi soma kitabu hiki cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA.

Hakika hutojutia KWASABABU utaenda kutengeneza hela za kukutosha wewe, familia yako na jamii kwa ujumla.

Ina maana utakuwa mtu bora sana kuanzia kwenye familia yako, jamii yako na ulimwengu kwa ujumla.

Kupata Vitabu Hivi Viwili Tuwasiliane Kwa Namba Hii 0752977170.

Kwa ufupi piga namba hii upewe utaratibu wa kupata vitabu hivi.

Kila Lakheri, Rafiki Yangu.

Nakupenda.

Bwana AmiryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post