Ujumbe Muhimu Kwa Watu Waliopo Kwenye Ajira…
Rafiki Yangu Mwajiriwa,
Umeshawahi kujiuliza kwanini mishahara yako haikutani kila mwezi?
Naam, nitakwambia kwanini , kwa hakika nitakuambia baadhi ya mambo kuhusu mshahara wako ambayo pengine hujawahi kusikia.
Mambo ambayo yanaweza kukusaidia kuongeza kipato chako mara dufu zaidi ya ilivyosasa na baadhi ya mambo ambayo yamekuwa kikwazo kwako kupiga hatua mara zote.
Kwahyo tafadhali soma ujumbe huu kwa makini , kila neno ni kweli na imechukua sehemu kubwa zaidi ya maisha yangu kugundua kile ambacho sasa ninaenda kukufichulia. Soma!…
Ni hatari mno kutegemea chanzo kimoja cha kipato ili kuendesha maisha yako, na ni mbaya zaidi pale unapotegemea mshahara tu kama chanzo pekee kinachokuingizia kipato kwenye karne hii ya 21.
Jibu la swali kwanini Mishahara yako haikutani kila mwezi ni kwa sababu mara zote mshahara haujawahi kutosha hata uwe mamilioni kiasi gani,
…na hivyo usitegemee mishahara yako kukutana kwa sababu mshahara ni chanzo kimoja cha kipato na ili uweze kuwa na pesa za kutosha inakupasa uongeze vyanzo vingine vitakavyokusaidia kuongeza kipato zaidi.
Unaweza pia ukawa unajiuliza vipi kama mshahara wangu ukiongezeka zaidi je mishahara yangu itakutana?
Jibu ni HAPANA na hii ni kwasababu pindi mshahara wako unavyoongezeka gharama za maisha nazo zinapanda nahii inategemeana na hali ya uchumi ya wakati huo.
My dear hata ujibane vipi inakuwa ngumu zaidi kwa sababu mshahara ni chanzo kimoja cha kuingiza kipato, na ili uweze kuwa huru zaidi na ufurahie maisha unatakiwa uwe na zaidi ya chanzo kimoja cha kipato,
…na utafanikiwa kwenye hili endapo tu uta anzisha biashara ya pembeni, na mshahara wako ukawa mtaji wako.
Ikiwa ungependa kuanzisha biashara itakayokupa mafanikio makubwa ukiwa bado umeajiriwa basi nakushauri usome kitabu kinachoitwa BIASHARA NDANI YA AJIRA, kitakachokufunulia mbinu na siri zitakazokusaidia kuongeza kipato chako mara dufu zaidi ya ilivyosasa, unasubiri nini?…
Piga simu sasahivi kwenda 0752977170 kupata kitabu chako.
Thamani ya kitabu hiki ni zaidi ya TSHS 50,000 na KWA SABABU ya maombi ya clients wetu wengi leo watu 19 wa KWANZA watakipata kwa bei ya OFA ya TSHS 20K SAVE 30K NZIMA.
KUMBUKA; Wakitimia watu 19 wa kwanza ofa inaisha.
Kila Lakheri,
Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,
Bwana Rama|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|
Karibu www.somavitabu.co.tz