Vitu Muhimu Vya Kuzingatia Kabla Ya Kuanzisha Biashara Tanzania…

Vitu Vya Muhimu Vya Kuzingatia Kabla Ya kuanzisha Biashara Yako Tanzania…

Rafiki Yangu Mpambanaji,

Mwezi wa 6/2021 Steven Kutoka Kigoma Alinipigia Simu Saa Kumi na Nusu Alfajiri Huku Analia…

…Kisha Akaniambia kitu Ambacho Kilinishtua Sana…

“Rama Nimepunguzwa Kazini, na Kodi ya nyumba Inaisha Mwezi huu nifanyaje?”…

…Steven alikuwa anafanya kazi katika moja ya super market kubwa huko Kigoma

Mchana yake baada ya kuongea nae akasema angependa kufanya biashara lakini hajui aanzie wapi…

…kwasababu hana elimu yoyote ya biashara

Ushauri niliompa ni huu hapa unaweza ukautumia pia…

1). Jifunze biashara kwanza usitafute biashara ya kufanya, Pesa hazipo kwenye biashara zipo kwenye uwezo wako wa kufanya hiyo biashara,

…kwasababu haijalishi unatengeneza pesa kiasi gani, bali unatengenezaje hizo pesa.

2). Jua biashara sahihi kwako kufanya…

Hakuna biashara ambayo ni sahihi kwa wote, kila mtu ana biashara ambayo ni sahihi kwake, Je wewe ni biashara gani sahihi kwako kufanya?.Unahitaji kuijua ili upeleke nguvu na juhudi zako huko ili uweze kufikia mafanikio makubwa kupitia biashara.

3). Jua jinsi ya kupata wazo bora la biashara…

Ili ujue biashara ambayo utaingia na uweze kupata mafanikio, unahitaji kuja na wazo bora la biashara, wazo la kuambiwa fanya biashara Fulani na utafanikiwa litakupeleka kwenye shimo baya. Unachotakiwa kufanya ni kujifunza hatua nne(4) muhimu za kupitia ili kupata wazo bora la biashara.

Nikaendelea kumsisitiza…

4). Jua jinsi ya kuboresha wazo lako la biashara.

5). Jua jinsi ya kuandaa mchanganuo wa biashara yako, jua vitu vyote muhimu vya kuweka kwenye mchanganuo wa biashara yako.

6). Jitafute na kujua uimara wako na udhaifu wako.

7). Jua jinsi ya kufanya utafiti wa biashara yako.

8). Jua aina za mtaji unaohitaji kwenye biashara yako.

9). Jua njia bora za wewe kupata mtaji wa biashara.

10). Jua jinsi ya kurasimisha biashara yako, pamoja na umuhimu wake.

11). Jua hatua za kusajili biashara yako.

12). Jua jinsi ya kulinda biashara yako, na umuhimu wake.

13). Jua jinsi ya kuchagua soko la wateja wako, mpango bora wa kutangaza biashara yako,pamoja na mbinu za kuongeza mauzo kwenye biashara yako.

14). Jua njia 12 za kutengeneza thamani.

15). Jua mambo muhimu ya kuzingatia kwenye mzunguko wa fedha ili usijiingize kwenye changamoto itakayoisumbua  biashara yako na kuipelekea kufa.

16). Jua jinsi ya kutoa huduma bora kwa mteja.

17). Jua changamoto zinazoua biashara nyingi na jinsi ya kuzidhibiti zisiue biashara yako, pamoja na jinsi ya kufufua biashara iliyokufa.

18). Jua jinsi ya kununua uhuru wako kutoka kwenye biashara yako, pamoja na usimamizi mzuri wa biashara yako.

Baada ya kumwambia maneno hayo nikamtumia kitabu cha “ ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA” kama ZAWADI…

Baada ya kupita Miezi Nane (8) Tu…

Juzi jumanne mida ya saa kumi jioni kanipigia simu huku anacheka tofauti na kipindi kile…

Anasema anajuta kwanini hakupata kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA mwaka mmoja uliopita…

Sasahivi ana biashara mbili na anatengeneza Pesa mara 3 zaidi ya alivyokuwa analipwa na bosi wake.

…Nadhani kitu nilichojifunza kwa STEVEN ambacho hata wewe unaweza kujifunza pia ni hiki hapa..

Ukiwa na maarifa sahihi wa chochote utakachotaka kukifanya  hutokuwa na hofu yoyote hata kama mambo yataenda mrama kwenye kile unachokifanya sasahivi-kwasababu pesa hazipo kwenye kile unachokifanya zipo kwenye jinsi unachokifanya.

Kama bado hauna maarifa sahihi ya biashara , basi leo anza taratibu kujifunza ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA ili uweze kutengeneza pesa nyingi ambazo kesho yake utazipeleka benki,

…huku ukiwalinda watu uwapendao (FAMILIA) wakajivunia kuwa na shujaa kama wewe katika maisha yao.

Kama na wewe unataka kuungana na STEVEN Basi Piga simu sasahivi kwenda 0752977170 kupata kitabu chako cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA.

KWASABABU leo ni mwisho wa mwezi utapata kitabu chako kwa TSHS 19,900 Tu! Badala Ya Tshs 50,000,

Unasubiri nini?

…vimebaki vitano (5) tu, na kuchapisha vingine ni mpaka mwezi ujao.

Rafiki Yangu Mpendwa.

Natumai ume-enjoy kusoma makala hii kama mimi nilivyo-enjoy kuandika.

Kila Lakheri,

Ni Mimi Shabiki Yako Namba Moja…

Bwana Rama|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Karibu, www.somavitabu.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post