Utaongeza Thamani Yako ×2 Kwa Kuanza Na 1.

Utarudisha Thamani Yako Leo Kwa Kuanza Na 1.

Rafiki Yangu Mpendwa,

Wewe ndiye uliyebeba Thamani Yako.

Na hii inanikumbusha miezi sita (6) iliyopita wakati nikipokea SIMU kutoka kwa madam Angel anayeishi NATA-MWANZA.

Madam Angel alikuwa ni  mwenye huzuni sana….

…na mwenye kukata tamaa kila wakati, kwa ufupi alikuwa mnyonge sana.

Alidharaulika sana na ndugu na jamaa  hali hiyo ilimrudisha nyuma,nakushindwa kutimiza malengo yake.

Alitafuta msaada kila kona na alitumia njia mbalimbali ili kuwashawishi ndugu na jamaa zake,

…lakini aliishia kujisikia vibaya kwa sababu hakuna aliye mthamini.

Aliteseka sana mpaka pale alipokutana na  kitabu kinachoitwa UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA,

…ndio ulikuwa mwisho wa tatizo lake la kudharaulika, Sasa hivi hapa tunavyozungumza Madam Angel anajithamini sana.

Kama na wewe pia unapitia changamoto hii ya kudharaulika.

Usipoteze muda wako tena tuma MESEJI inayosomeka “UNA NGUVU “kwenda WhatsApp namba 0752977170

… nakuhakikishia utaheshimika na wote wanaokudharau sasa.

KUMBUKA; Watatu Watazawadiwa Kitabu Cha WEWE NI MSHINDI

Karibu Sana, Tuwasiliane Kwa namba Hii.

Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana.

Bwana AmiriRamadhani|CopywiterOfSomaVitabuTanzani|

unanguvuyakutendamiujiza #thamani #thamaniyamwanamke✍️ #thamaniacademy

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post