Njia Mpya Na Ya Kisasa Ya Kuiendesha Biashara Yako Bila Uwepo Wako Kwa 100%.

Njia Mpya Na Ya Kisasa Ya Kuiendesha Biashara Yako Bila Uwepo Wako Kwa 100%.

Rafiki Yangu,

Miaka ya nyuma nilikuwa siamini kabisa kama mtu anaweza kuendesha biashara kisasa na ikakua bila kumtegemea yeye kwa 100%. 

Nilichokua nimeaminishwa na jamii ni kwamba ili utengeneze faida ya kutosha ni lazima uwepo kwenye biashara yako masaa yote.

Baadae baada ya kupata maarifa sahihi nikaja kugundua kwamba,

…wala hata hayakuwa makosa yangu bali makosa yalikuwa kwa jamii iliyoniaminisha kipindi hiko.

Zama zimebadilika sana na sasa tupo karne ya 21 na habari njema ni kwamba wala hata huhitaji kuwepo kwenye biashara yako masaa yote ndio uweze kuiendesha biashara yako vizuri na ikakua.

Bali unachohitaji ili biashara yako ijiendeshe kisasa bila uwepo wako kwa 100% ni wewe kupata maarifa sahihi ya biashara ambayo sehemu pekee unapoweza kuyapata ni kwa kusoma kitabu hiki cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA .

Kuhusu kukipata wala hata usiwe na wasiwasi leo utakipata kwa Tshs 19,999Tu! Badala Ya Dola 20.

Utaletewa au utatumiwa popote ulipo kwa kupiga simu namba ni hii 0752977170.

au bonyeza hapa wa.me/255678977007.

Kumbuka, Watatu (3) Wa Kwanza Watapata Zawadi Ya Kitabu Cha JINSI YA KUNUFAIKA NA MABADILIKO YANAYOTOKEO.

Karibu Sana.

Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali,

Bwana Amiri Ramadhani.

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|


Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post