100% Huyu Hapa Ndiye Anayekuloga Kila Siku.

100% Huyu Hapa Ndiye Anayekuloga Siku Zote.

Rafiki Yangu Mkubwa,

Sasahivi Ukiweza Kumjua Anayekuloga Utamfanya Nini?

Inauma Lakini Anayekuloga Hayupo Mbali Na Wewe Kabisa.

Ukweli ni kwamba unajiloga mwenyewe kwa tabia zako binafsi.

Kama unalewa, kula kupitiliza na kutumia muda mwingi kwenye starehe itaathiri mafanikio yako.

Wengi huona tabia binafsi na starehe haviwezi kuathiri mauzo kama hawafanyi wakati wa kazi.

Lakini kama mtu analala amelewa kila siku, tena kwa kuchelewa, hawezi kuamka asubuhi na mapema akiwa na nguvu ya kwenda kufanya mauzo makubwa.

Tabia binafsi zinaathiri sana mauzo zisipodhibitiwa.

Rafiki yangu, habari njema ni kwamba tabia zote zitakazokusaidia uweze kukuza mauzo yako mara mbili (2) zaidi ya unavyouza sasa mpaka ushangae,

…utazikuta kwenye hiki kitabu kikubwa kipya kinachoitwa *CHUO CHA MAUZO*.

Badala Ya Elfu 50, leo utakipata kwa Ofa ya Tshs 29,999Tu!.

Kuletewa au Kutumiwa Popote Ulipo Afrika Mashariki.

Nipigie Kwenye Namba Hii 0752977170.

Nb. Mwisho Wa Ofa Ni Tarehe 30|11|2022.

Nakupenda.

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

Bwana Amiri Ramadhani |CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post

9 December 2022.9 December 2022.

9 December 2022. Rafiki Yangu, Kuna changamoto tano (5) kubwa zinazokuzuia kufanikiwa. 1. Fedha, madeni na uwekezaji. 2. Mshahara kutokutosheleza. 3. Biashara kuwa na changamoto. 4. Kukata tamaa. 5. Simu