Umeshawahi Kujiuliza Kwa Nini Wateja Hawanunui Kwako?

Kwa Nini Hawanunui Kwako?

Rafiki Yangu Mkubwa,

Pale ambapo unakuwa na bidhaa nzuri alafu wateja hawainunui,

Inasikitisha sana ,inahuzunisha sana, na inakatisha tamaa sana.

Najua unavyojisikia lakini ukiweza kukaa hapa mpaka mwisho utaweza kuwavuta wale wote  ambao hawajawahi kununua kwako.

Sikiliza kwa makini,

Nakumbuka Jumapili ya tarehe 6 majira ya saa 6 mchana nikiwa nimejipumzisha kitandani, ghafla nilipokea simu ngeni kwa mshtuko mkubwa kwenye sikio langu la kushoto niliisikia sauti ya kike yenye kukosa matumaini,

Huwezi kuamini ilinibidi nikae kitandani niisikilize kwa umakini mkubwa kwasababu alionesha tokea mwanzo ni kama mtu anayenijua  vile ,

…hilo halikunizuia kutaka kujua ni nani , kwa bahati nzuri sana nikaikumbuka kumbe bana ilikuwa ni sauti ya Madam Salha,

…huyu Madam mara ya mwisho kuwasiliana naye ilikuwa mwezi wa 3 baada ya hapo hakupatikana tena, na kila nilivyokuwa nikimpiga namba yake ilikuwa haipatikani,

Kwa shauku kubwa nikamkaribisha kwa kumwita kwa jina lake MADAM SALHA, akaitikia Abeee…(weka sauti ya kwanza).

Hahaaa…

Karibu Sana,

Akajibu tena, asante Rama (weka sauti nyororo)

Nikamuuliza Madam Salha siku zote hizo ulikuwa wapi?

MADAM SALHA; Nilikuwepo.

Nikaendelea kumuuliza ulikuwa wapi?

MADAM SALHA; Nilikuwepo hapa hapa kinondoni,

Nikaendelea kumuuliza mbona ulikuwa hupatikani kwenye ile namba yako?

MADAM SALHA; Nasikitika sana Ile simu niliibiwa na panya road,

Kwa mshangao, nikamuuliza kwa nguvu PANYA ROAD!!!!!!!!!!!!!!!!

MADAM SALHA; Ndio PANYA ROAD walinivamia siwezi kuwasahau kwenye maisha yangu ,

Nikamuuliza Kwa nini unasema huwezi kuwasahau?

MADAM SALHA; Kwasababu walinivurugia kila kitu na mtaji wote wakachukua , ikabidi na biashara niifunge.

Nimekuja kufungua tena , biashara mwezi wa 8,

Lakini huwezi kuamini nina bidhaa nzuri sana lakini wateja hawanunui wakija wanasifia sana mwisho wa siku wanarudi na fedha zao.

Naumia sana Rama, na sijui nakosea wapi, au sina bahati?

Mimi;  Kwa kufupisha nikamsaidia haraka haraka kwa kumwambia Madam Salha pole sana na wala hata usiwe na wasiwasi na haupo pekee yako,

…Na  85% ya wafanyabiashara wanapitia hali kama yako.

Nikamuuliza baada ya kupitia hali hii ni hatua gani ambazo amezichukua ili kuinusuru biashara yake?

MADAM SALHA; Niliomba ushauri kwa wafanyabiashara wenzangu zaidi ya 10 , ndugu, jamaa waalimu wa biashara,

… lakini kila nikiufuata huo ushauri ndio nazidi kufeli zaidi na kuendelea kujisikia vibaya sana.

Kumbe bana hata nilikuwa sijui kwanini wateja wananunua.

Kwa bahati nzuri sana , juzi nikiwa nimejikatia tamaa, ghafla nikapata wazo la kuitembelea blog ya AMKAMTANZANIA, ndipo nikakutana na makala yenye kichwa cha habari kinachosema CHUO KIKUU CHA MAUZO TANZANIA,

Nilishtuka kwanza kwasababu chuo kikuu cha mauzo Tanzania hakikuwepo, lakini baada ya kukaa chini na kuisoma makala ile fupi mpaka mwisho nikakutana na kitu ambacho kiliniongezea hali ya kujiamini,

KWAMBA NINAWEZA KUKUZA MAUZO YANGU MARA 2 ZAIDI YA NINAVYOUZA SASA.

Aisee nilipata nguvu sana, ndipo nikapata namba zenu tena.

Ninajiona ni mtu mwenye bahati sana,

Rafiki Yangu Mkubwa,

Kufupisha, tarehe 7 Mwezi huu wa 11 tulimpelekea kitabu chake cha mauzo, na sasahivi wateja hawampigi chenga tena, na anauza kama kichaa.

Kwasababu ameshajua SABABU ZINAZOWAFANYA WATEJA KUNUNUA,

Kwahiyo sasahivi yeye anacheza mule mule,

Wateja wana mpenda na wana mwamini, hivyo wanarudi kununua kwake, na wanawaleta marafiki zao.

Rafiki Yangu, hata wewe hujachelewa kama unataka wateja wakupende na wakuamini na wanunue kwako na wakuletee marafiki zao huna budi kusoma kitabu hiki kipya kinachoitwa *CHUO CHA MAUZO*

Kukipata Kitabu Hiki Tuwasiliane Kwenye Namba Hii 0752977170.

Uzuri Leo Unakipata Kwa OFA YA TSHS 29,999Tu! Badala Ya Tshs 50,000 NZIMA.

OKOA LEO  TSHS 20,000 NZIMA,

KUMBUKA; OFA HII INAISHA TAREHE 30|11|2022, Ukichelewa Utakipata Kwa Tshs 50,000 NZIMA.

Nakupenda,

Rafiki Yako Ninayekupenda Na Kukujali Sana,

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania| |MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post