#1Elimu Isiyofundishwa Chuo Kikuu…

Rafiki Yangu, Huyu ni wewe? Unajiuliza.

Unapata Fedha Nyingi Kila Mwezi , lakini hujui zinaenda wapi?

Utawezaje Kutengeneza Fursa Zaidi Za Kifedha Kwenye Maisha Yako?

Utawezaje Kuongeza Kipato Chako Mara 2 Zaidi Ya Ilivyo sasa?

Utawezaje Kudhibiti Matumizi Yako Na Bado Ukawa Na Maisha Bora?

Utawezaje Kuondoka Kwenye Madeni Na Kuepuka Kuingia Kwenye Madeni Mabaya?

Utawezaje Kutengeneza Kipato Cha Uhakika Kisicho Na Ukomo?

 Utawezaje Kupangilia Uwekezaji Wako Ili Uwe Na Uhuru Wa Kifedha?

Utawezaje Kupata Unafuu Wa Kodi?

Utawezaje Kulinda Fedha Na Mali Zako?

Utawezaje Kuwajengea Watoto Wako Msingi Mzuri Wa Kifedha?

Utawezaje Kuacha Wasia Na Mgawanyo Mzuri Wa Mali Zako Baada Ya Kifo Chako?

Utawezaje Kuwa Na Nidhamu Ya Fedha?

Wengi wamewahi kuwa hapo na wakafanikiwa kutoka! Mimi ni mmoja wao.

Niliamua kutumia pesa nyingi na muda mrefu (Miaka Mitano) kutafuta majibu ya maswali yote , na majibu yote umewekewa katika kitabu hiki kinachoitwa “ELIMU YA MSINGI YA FEDHA”.

Kitabu hiki kinamuhusu Mwajiri, Mwajiriwa, Mfanyabiashara, Mjasiriamali, Tajiri, Fukara, Masikini, Mwalimu, Mwanachuo, Mwanafunzi wa sekondari, Mwanafunzi wa shule ya msingi.

Mbinu hizi binafsi zimenipatia matokeo makubwa, kirahisi na kwa haraka zaidi kuliko mbinu zozote utakazozipata kokote.

Mara ya kwanza nilijifunza mbinu hizi kwa ajili yangu tu na sio kwa ajili ya mtu yeyote.

Ila kulingana na ubora na umuhimu wa mbinu hizi nimeona sio vyema kuzitumia peke yangu.

Na rafiki yangu amenisihi nirudishe kwa jamii yangu ndio maana nakushauri usome kitabu hiki leo.

Kwa kusoma kikamilifu, na kufanyia kazi yale yote utakayojifunza kupitia kitabu hiki, mategemeo yangu ni kwamba;

1.Utaelewa misingi muhimu ya fedha na kuweza kuiishi, kuanzia kifikra mpaka kimatendo.

2.Utaweza kuongeza kipato chako kupitia shughuli unayofanya sasa na hata kuanzisha chanzo kipya cha kipato.

3.Utaweza kupunguza matumizi yako na kudhibiti matumizi.

4.Utaanza kuweka akiba kama bado, na kuendelea kuboresha uwekaji wako wa akiba kama ulishaanza.

5. Utaanza Kuwa Na Uwekezaji.

6.Utaanzisha biashara au kuimarisha biashara ambayo tayari umeshaanza.

7. Utakuwa na bima kwa maeneo muhimu ya maisha yako.

8.Utawafundisha watoto wako misingi muhimu ya kifedha.

9.Utatumia fedha zako kuyafanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi.

10.Utaanza safari ya kuelekea kwenye utajiri na uhuru wa kifedha , hutarudi tena kwenye umasikini na madeni.

Rafiki, Kitabu hiki ni tofauti kabisa na vitabu vingine.

Siyo kitabu cha kusoma na ukafurahia kwamba umekisoma, bali ni kitabu kinachokutaka uchukue hatua ili maisha yako yawe bora zaidi.

Hivyo baada ya kusoma kitabu hiki, nashauri uchukue hatua hizi 3 muhimu;

1; Kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato.

Kama umeajiriwa anzisha biashara ya pembeni , hata kama ni ndogo kiasi gani. Kuwa na kitu cha ziada unafanya , ambacho hata kama mwanzoni hakikupi kipato , kinakutengenezea njia ya kuwa na kipato zaidi baadaye.

2; Kuwa na uwekezaji ambao unafanya. Uwekezaji huo uwe unafanya kidogo kidogo na kurudia rudia.

3; Endelea kujifunza kuhusu fedha, biashara na hata mafanikio kwa ujumla.

Kwa kuchukua hatua hizi 3, hutabaki hapo ulipo sasa.

MUHIMU; Kama utanunua na kusoma kitabu hiki na ukaona hakina manufaa yoyote kwako, unaruhusiwa kukirudisha na ukarejeshewa fedha zako. Hivyo chukua hatua sasa, huna cha kupoteza lakini una mengi ya kupata.

 Unaposoma kitabu hiki, kuwa na kijitabu ambacho unaandika yale unayojifunza.

Mwisho wa kila somo kutakuwa na maswali ya kujiuliza na kujijibu na hatua za kuchukua. Yote hayo yaandike kwenye kijitabu chako kwa rejea ya baadaye.

Jambo muhimu sana ambalo nitaendelea kukusisitiza kila mara ni kwamba hakuna kitu kitakachofanya kazi kama wewe hutachukua hatua.

Kwa uwekezaji wa Tshs 19,999 Tu, badala ya thamani yake halisi ya Tshs 50,000 Leo hii unapata ELIMU ambayo haifundishwi darasani.

Na ukilipia kitabu chako leo hii NAKUZAWADIA MAMBO 10 YATAKAYOKUSAIDIA KUKUZA BIASHARA YAKO, na hivyo biashara yako itakua sana ndani ya mda mfupi na kukuweka huru.

Ni rahisi sana piga namba hii 0752977170.

Karibu Sana. 0752977170.

Shabiki Yako Namba 1,

AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post