2023; Hii Hapa Siri Kuu Ya Mafanikio…


2023; Hii Hapa Siri Kuu Ya Mafanikio
Rafiki Yangu Mpendwa,
Siri Kuu Ya Mafanikio Ni Kuwa Tayari Pale Fursa Inapokuja.- Benjamin Disraeli.
Wengine huita kuwa na bahati, lakini kwa uhalisia, bahati ni pale maandalizi yanapokutana na fursa.
Hakikisha mara zote una maandalizi ya kutosha kwenye lile eneo unalofanyia kazi au biashara,
… na pale fursa zinapokuja na kukukuta una maandalizi, wengine watasema una bahati.
Wasichojua ni kwamba ulikazana kujiandaa kabla.
By the way, kama unataka kuongeza kipato chako mara 4 zaidi mwaka huu,
…nakushauri uanze kujiandaa mapema kwa kusoma vitabu hivi vitatu (3),
Elimu Ya Msingi Ya Fedha , Elimu Ya Msingi Ya Biashara na Chuo Cha Mauzo.
Kupata Zana hizi Sasahivi Ni rahisi sana, piga simu 0752977170.
Kisha Utaletewa Kama Upo Hapa Dar es salaam Na Kama Upo Mkoani Usiwe Na Wasiwasi Utatumiwa.
Karibu Sana Tukuhudumie.
wa.me/255752977170
Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,
Bwana Amiri Ramadhani,
|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post