Kama Unaishi Chini Ya Hivi Viwango Vya Kimataifa Wewe ni Masikini…

Kama Unaishi Chini Ya Hivi Viwango Vya Kimataifa Wewe ni Masikini…

Mpendwa Mpambanaji, Habari!…

Kulingana na viwango vya vipato vinavyotumika kimataifa masikini ni mtu anayetengeneza fedha chini ya dola 30,000 za kimarekani kwa mwaka (sawa na shilingi za kitanzania milioni 48) na anayemiliki mali yenye thamani isiyozidi dola 5,000 (sawa na shilingi za kitanzania milioni 8).

Kwa kutumia viwango hivi vya kimataifa zaidi ya nusu ya wa Tanzania wanaingia kwenye kundi la watu masikini.

Ili uwe na kipato kisichopungua shilingi za kitanzania milioni 48 kwa mwaka inabidi angalau kila mwezi kipato chako kisipungue shilingi milioni 4.

Ni wafanyakazi wachache sana ambao kipato chao cha mwezi ni shilingi milioni 4 au zaidi.

Hata kwa wafanyabiashara wa kitanzania bado wengi hawatengenezi faida inayozidi million 4 kwa mwezi .

Ukigawa shilingi million 4 kwa siku thelathini ni sawa na Tshs 133,000 bado ni kiwango ambacho watu wengi waliojiajiri ama wanaofanya biashara hawawezi kuingiza kwa siku kama faida.

Kama wewe umeajiriwa je kipato chako kwa mwezi kinazidi milioni 4? …

Kama umejiajiri ama unafanya biashara je faida yako kwa siku inazidi shilingi laki moja na elfu thelathini na tatu (133,000)?…

Kama jibu lako ni hapana basi upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama mali zako unazomiliki thamani yake haizidi shilingi milioni 8 (Tshs 8,000,000) pia upo kwenye kundi la watu masikini duniani.

Kama hauna nyumba au gari au mali nyingine yoyote amabyo thamani yake inqaweza kufikia milioni 8 tayari unaingia kwenye kundi hili  la watu masikini.

Tukiachana na hivi viwango vya kimataifa ambavyo unaweza kusema ni vikubwa sana na hivyo havikutendei haki tuangalie viwango vingine ambavyo vitaamua kama  wewe ni masikini au la.

Kama hauna uhakika wa kula miezi sita (6) ijayo hata usipofanya kazi upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama kwa sababu yoyote ile kesho asubuhi vyanzo vyako vyote vya mapato vimesimamishwa kama utashindwa kuishi miezi sita (6) kwa maisha unayoishi sasa hivi basi upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama wewe ni mfanyakazi na mishahara yako haikutani upo kwenye kundi la watu masikini.

Na kama una madeni makubwa amabyo ulitumia kwenye matumizi ya kawaida kama kula na hujui utayalipaje upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama umejiajiri au unafanya biashara na kama biashara yako haiwezi kwenda bila ya wewe kuwepo kwenye kazi au biashara hivyo upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama kwa sababu yoyote iwe kazi ama biashara yako imeshindwa kufanyika kwa siku kadhaa na ikawa na madhara makubwa sana kwako kiuchumi upo kwenye kundi la watu masikini.

Hii ina maana kwamba kipato unachopata kwa siku ndio unakitegemea kwa matumizi ya kila siku.

Kama unaingia kwenye mojawapo ya vigezo hivyo hapo juu wewe ni masikini.

Usiogope  haupo pekee yako wa Tanzania wengi wanaingia kwenye hivyo vigezo vya umasikini.

Habari Njema Kwako…

Kama umegundua wewe ni masikini usisikitike wala kukata tamaa kwa umasikini ulionao.

Umasikini sio kilema hivyo unaweza kubadili hali hiyo kama kweli utataka kufanya hivyo.

Na ili uweze kutoka hapo ulipo unapaswa kupata maarifa sahihi kabisa ya kutengeneza UTAJIRI ,

… na maarifa hayo utayapata Ndani Ya kitabu kipya Kinachoitwa TABIA ZA KITAJIRI.

Unangoja nini? Tuma Sasa hivi MESEJI Inayosomeka “ UTAJIRI” Kwenye WHATSAPP NAMBA 0752977170.

Kutokana na maombi ya CLIENTS wetu wengi leo hii utakipata kwa bei ya OFA ya TSHS 14,999Tu Badala Ya Tshs 20,000.

Kama Upo Ndani Ya Dar es salaam utaletewa popote ulipo, ndani ya masaa 24 utakuwa umepata kitabu chako.

…na kama upo mkoani utatumiwa kwa basi, ndani ya masaa 48 utakuwa umepokea kitabu chako.

KUMBUKA; Ukikisoma na ukaona hakija kusaidia chochote ni RUKSA kukirudisha kisha utarudishiwa pesa zako. Ina maana hauna cha kupoteza una mengi ya kupata.

Kila Lakheri, Tuma Meseji Hapa 0752977170.

Shabiki Yako Namba Moja (1),

AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Karibu, www.somavitabu.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post