99.9; Imani Itakayokuwezesha Kufanya Makubwa.

99.9 ; Imani Itakayokuwezesha Kufanya Makubwa.

Rafiki Yangu Mkubwa,

Imani ina nguvu kubwa sana.

Na wala hata usithubutu hata siku moja kuacha kuiamini ndoto yako.

Na hata kama inachelewa, ingojee.

Ipo njiani kutimia.

Na dakika chache zijazo utajionea mwenyewe kwa macho yako, ni kwa nini nakwambia ingojee.

Nakumbuka mara ya kwanza nasikia hili kwa masikio yangu, nilisisimka sana.

Sam anatushirikisha mji ambao aliwahi kuutembelea kama mtalii.

Ilikuwa ni usiku wa manane (8) na katika mitaa ya mji huo alimuona mtu mmoja akiuza karanga.
Kilichomshangaza ni jinsi alivyokuwa akihudumia wateja wake kwa umakini huku akiwa na tabasamu kwenye uso wake.

Alivutiwa na kwenda kununua karanga, baada ya kupata huduma nzuri alimuuliza muuzaji yule kwa nini yuko pale usiku huo wa manane (8) wakati kuna baridi kali.

Alimwangalia na kumjibu; “Nilikuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio makubwa, nikaumwa na kupoteza kila kitu, biashara, nyumba na fedha zote.

Lakini namshukuru Mungu naweza kufanya kazi, bado nina nafasi ya kuyafanya maisha yangu kuwa bora.

Bado naweza kuwafanya wengine kuwa na furaha kwa kuwauzia karanga hizi ninazozikaanga kwa upendo.

Bado nipo hai, bado ninaweza kuwa na ndoto kubwa.”

Kila binadamu huwa anapitia magumu na changamoto kwenye maisha.

Wanaofanikiwa siyo ambao hawapitii hayo, bali wanaoyapitia na kuyageuza kuwa njia ya kufanya
makubwa zaidi.

Ambao hawakati tamaa, bali wanaendelea na mapambano kuendea kile wanachokitaka.

Wanaoshindwa huwa wanakata tamaa na kuyaacha mapambano pale wanapokutana na magumu ya aina hiyo.

Wewe amini kwenye ndoto zako na kuzifanyia kazi, bila kujali ni nini unapitia kwenye maisha yako.

Na hilo litakuwezesha kufanya na kufikia makubwa.

Kwa kuangalia mfano ambao Robin ametushirikisha, tunaona jinsi kuamini kwenye ndoto kulivyo na nguvu.

Mtu yule alikuwa tayari kutoa huduma kubwa na kwa upendo hata kwa biashara ndogo kama ya kuuza karanga.

Kwa kuendelea hivyo atakuwa na wateja wengi, atahitaji kuwa na wasaidizi.

Hilo litapelekea biashara kukua zaidi na kufungua matawi mengine na kufika kwenye ndoto yake kubwa ya kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio.

Asili ina njia nyingi za kumlipa mtu huyu kama ataendelea kupambania ndoto yake bila kukata tamaa.

Kupata matokeo ambayo watu wachache wanayapata, unapaswa kufanya vitu ambavyo watu wachache ndiyo wanavifanya.

Huwa hatukutani na bahati kwenye maisha, ila tunazitengeneza bahati kutokana na yale tunayofanya.

Jiahidi leo kwamba utaendelea kupambania ndoto zako kubwa bila ya kujali unapitia nini.

Na hapo utakuwa umejipa uhakika wa mafanikio.

Kumbuka pia wote waliofanikiwa sana kwenye kila nyanja walikuwa wauzaji wazuri.

Hivyo kama unataka kuungana nao basi soma kitabu hiki kipya kinachoitwa CHUO CHA MAUZO,

Kwasababu mbinu zote wanazozitumia zipo ndani ya kitabu hiki.

Na habari njema kwako , leo unakipata kitabu hiki kwa OFA ya Tshs 29,999Tu! Badala Ya Tshs 50,000 Nzima.

OKOA Elfu 20 Nzima.

Na vimebaki Vichache Sana.

Na kinachofuata baada ya hapa, ni wewe kupiga simu sasahivi namba ni hii 0752977170.

Utaletewa au utatumiwa popote ulipo AFRIKA MASHARIKI.

KUMBUKA; Mwisho Wa Ofa Hii Ni Tarehe 30|11|2022.

Nakupenda.

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Na Kukupenda Sana.

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post