Jinsi Ya Kuuza Sana Bidhaa Zako Kila Siku Bila Kubahatisha.

Jinsi Ya Kuuza Sana Bidhaa Zako Kila Siku Bila Kubahatisha.

Rafiki Yangu Mkubwa,

Kama unauza bidhaa zako kila siku alafu ukija kujichunguza ni kama unabahatisha vile , nataka nikwambie kwamba hayo sio makosa yako,

… bali makosa yapo katika vile unavyouza.

Na haina maana kama unauza sana afu ufurahii hicho unachouza.

Kubahatisha inachosha afu inakera sana, ni kama kubeti kwasababu mazingira ndio yanakuamulia upate nini kwa wakati gani.

Na ni rahisi sana kukata tamaa, pale mambo yanapokuwa magumu.

Na kama umeshindwa kufurahia kuuza bidhaa zako basi usiwe na wasi wasi kabisa na kitu pekee unachotakiwa kufanya ili kumaliza kabisa hiyo changamoto ya kubahatisha ni wewe kukaa chini na kujifunza jinsi ya kuuza kitaalam.

Na wala hata uhitaji kuwa na elimu kubwa sana,

Na wala hata uhitaji uwe unajua kiingereza sana,

Na wala hata uhitaji uwe muongeaji sana,

… ndio uweze kufurahia kuuza.

Muhimu tu! uwe unajua kusoma na kuandika hayo mengine ni ziada.

Rafiki Yangu,

Si unajua kusoma na kuandika?

Kama upo kama mimi , basi unachohitaji ili kuuza sana bidhaa zako bila kubahatisha ni wewe kuamua kuanzia sasahivi kukaa chini na kujifunza kwa vitendo,

Jinsi Ya Kuuza Kitaalam,

…nisikufiche kwenye hili hakuna shotikati (shortcut) namaanisha hakuna njia ya mkato.

Na ukiendelea kuwa mbishi, utaendelea kujisikia vibaya sana, mwisho utakata tamaa.

Na kama unavyojua kukata tamaa ni dhambi kubwa sana kwenye huu ulimwengu wa 21.

Na sehemu pekee ambayo utajifunza kuuza kitaalam ni kwenye kitabu hiki kipya kinachoitwa CHUO CHA MAUZO.

Nakuhaidi utafurahia sana kuuza hicho unachouza.

Habari njema ni kwamba, leo hii unakipata kwa Ofa Ya Tshs 29,999Tu! Nasio Tena Tshs 50,000.NZIMA.

OKOA Tshs 20,000 Nzima.

Piga simu namba ni hii 0752977170, utaletewa au utatumiwa popote ulipo.

Dar es salaam ni FREE DELIVERY,

Nje Ya Dar es salaam Utachangia Gharama Ya Usafiri Kulingana Na Mkoa Husika.

Karibu Sana.

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kujali Sana,

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post