Njia 10 Za Uhakika Kupata Mpenyo Ambazo Zitakusaidia Sana Kufanikiwa Kwenye Kazi au Biashara Unayoifanya…. Rafiki Yangu Mkubwa, Mda sio mrefu utaenda kujifunza njia 10 za uhakika za kupata mpenyo
Category: ELIMU
TAHADHARI; Usiruhusu Mwaka Huu Ukufanye Uwe Mnyonge Zaidi…TAHADHARI; Usiruhusu Mwaka Huu Ukufanye Uwe Mnyonge Zaidi…
Tahadhari: Usiruhusu Mwaka Huu Ukufanye Uwe Mnyonge Zaidi… Rafiki Yangu, Leo ukiweza kutenga Dakika 1 tu! YA kusoma hii makala fupi utapata nguvu na utaendelea kujiamini zaidi. Nakumbuka mwaka 2019
Futa Vyote; Jenga Mtazamo Wako Upya.Futa Vyote; Jenga Mtazamo Wako Upya.
Futa Vyote; Jenga Mtazamo Wako Upya. Rafiki Yangu Mkubwa, Vipi Hali Yako? Wanasaikolojia wanakiri kwamba tofauti kubwa kati ya mtu mmoja na mwingine ni MITAZAMO mtu aliyonayo. Kwa sababu kuna
Ushuhuda; Jinsi Hadithi Iliyopitwa na Wakati Ilivyonipoteza!…Ushuhuda; Jinsi Hadithi Iliyopitwa na Wakati Ilivyonipoteza!…
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumapili ya mwezi wa 12 mwaka 2020 majira ya saa 9 na nusu alasiri nikiwa kitandani nimejipumzisha… Gafla Ukaingia Ujumbe Mrefu Kwenye Email Yangu uliokuwa
Kwa Watu Ambao Wanataka Kuishinda Hofu Siku Moja.Kwa Watu Ambao Wanataka Kuishinda Hofu Siku Moja.
Wewe Sio Mtabiri Mzuri, Hivyo Acha Kujiogopesha. Mara baada ya sultani wa dubai kuamua kusafiri baharini na baadhi ya wapambe wake. Siku iliyofuata walijumuika kwa pamoja kwa ajili ya kuanza
Jinsi Ya Kuvuka Magumu unayopitia Kwenye Maisha Yako.Jinsi Ya Kuvuka Magumu unayopitia Kwenye Maisha Yako.
Wewe siyo wa kwanza kupitia magumu unayopitia haupo mwenyewe, amka endelea na mapambano. Ilikuwa ni majira ya saa nane mchana ,Msichana akiwa anamwendesha baba yake ambaye aliketi siti ya nyuma.
Unaingiza Kiasi Gani Cha Pesa Kwa Li saa?Unaingiza Kiasi Gani Cha Pesa Kwa Li saa?
Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini. Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika. Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni. Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “