TAHADHARI; Usiruhusu Mwaka Huu Ukufanye Uwe Mnyonge Zaidi…

Tahadhari: Usiruhusu Mwaka Huu Ukufanye Uwe Mnyonge Zaidi…

Rafiki Yangu,

Leo ukiweza kutenga Dakika 1 tu! YA kusoma hii makala fupi utapata nguvu na utaendelea kujiamini zaidi.

Nakumbuka mwaka 2019 Madam Angel alikuwa ameajiriwa na kampuni ya kuuza simu hapa mjini.

Kibaya zaidi alikuwa ana itegemea sana hiyo kazi, kwa ufupi alikuwa anategemea mshahara pekee kama chanzo pekee cha kumuingizia kipato.

Aisee hali yake ilikuwa mbaya sana kwasababu mishahara ilikuwa haikutani kabisa,

…yaani ilikuwa ikifika tarehe 15 hana hata senti 10

Mwisho akajiingiza kwenye madeni mabaya, alipambana Sana kulipa madeni lakini ilishindikana na akazidi kuwa mnyonge zaidi.

Hali yake ili badilika pale alipokutana na kitabu cha *BIASHARA NDANI YA AJIRA*,

…baada ya kumaliza kukisoma sasahivi amejiajiri huku akiendelea na ajira yake na hana hofu tena.

Kama na wewe pia upo kwenye ajira na unategemea mshahara pekee usiendelee kujichelewesha tena.

Piga simu sasahivi kwenda *0752977170*

Karibu Sana, Ni Hapa *wa.me/255752977170*

Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana Amiri Ramadhani, |CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post