Chukua Mambo Haya 6 Yatakayokupa Mafanikio Ya Kweli…

Chukua Mambo Haya 6 Yatakayokupa Mafanikio Ya Kweli…

Rafiki Yangu Mpambanaji,

Una Bahati Kubwa Sana Kuishi Kwenye Karne Hii Ya 21.

Unaweza ukawa unasoma hapa na hauamini kama utafanikiwa, wala hata usivunjike moyo kwa sababu leo hii unakwenda kujijengea misingi imara ya mafanikio ya kweli.

Usibanduke Hapa…

Watu wengi wamekuwa wanataka kufanikiwa, lakini hawazingatii misingi.

 Hufikiri mafanikio ni kitu kinachoweza kutokea tu kama bahati.

Hapa yapo mambo 6 muhimu yanayojenga msingi wa mafanikio;

01; Uaminifu, lazima uwe mtu wa kutekeleza kile ulichoahidi, kufanya kama ulivyosema.

01; Tabia, tabia yako lazima iwe njema na yenye kuwapendeza watu.

Watu wajisikie vizuri kujihusisha na wewe kutokana na tabia zako nzuri.

03; Imani, lazima uwe na imani ya kwamba unaweza kufanikiwa na unaweza kufanya makubwa.

04; Uadilifu, unachofanya mbele ya watu na unachofanya ukiwa mwenyewe, lazima viwe vinaendana.

Usiwe na maisha ya aina mbili.

05; Upendo, lazima upende unachofanya na uwapende wengine pia.

06; Kutunza imani ya wengine kwetu.

Unapaswa kuwafanya wengine wajisikie salama kukuamini kwamba utatunza imani waliyoiweka juu yako.

Bila ya msingi huu imara wa mafanikio, huwezi kuwa na maisha ya ushindi.

USISAHAU; Kuifuata Hii Misingi Sita Kila Siku Ili Upate Mafanikio Ya Kweli.

Hata Hivyo, Leo una chaguzi mbili uboreshe maisha yako kwa zaidi ya 90% au uendelee kuishi maisha duni na ya hovyo.

Ni uzembe wa hali ya juu sana, kwenye karne hii ya 21 kuendelea kuishi maisha duni akati unauwezo mkubwa wa kuboresha maisha yako.

Usisikitike wala husiuzunike sana kwa sababu leo kwa kusoma kitabu kipya cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO, Utaweza kuboresha maisha yako kwa 99.9%.

Shahidi ni Madam Elizabeth, kutoka kutokujua chochote kuhusu Asubuhi ya miujiza mpaka kuianza siku yake kwa ushindi mkubwa.

Tunavyozungumza sasa hivi anajivunia ameweza kuboresha maisha yake kwa 99.9%.

Kumbuka alikuwa hajui chochote.

Hata wewe leo hii unaweza kuboresha maisha yako mpaka ushangae kwa kusoma tu kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO.

Kama bado hujapata KITABU CHAKO KIPYA CHA KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO,

Nitumie meseji inayosomeka “KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO” Kwenye WhatsAPP Namba 0752977170.

Tayari Nimeshakulipia Tshs 10,000 NZIMA.

LEO UTAPATA VITABU VIWILI KWA OFA;

OFA Ya Vitabu Viwili (2) Kwa Tshs 29,999Tu Badala Ya Tshs 40,000 Nzima.

  1. KITABU; KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO.Tshs 14,999Tu Badala Ya Tshs 20,000.
  2. TABIA ZA KITAJIRI, Tshs 14,999Tu! Badala ya Tshs 20,000.

Ni leo Na Kesho Ukiikosa Utasubiri Tena Mpaka Mwakani. Na mwakani ni mbali sana.

KUMBUKA; Mwisho Wa Ofa Hii ni Tarehe 15|06|2022  Saa (TANO) 5:50 USIKU.

Nakupenda,

Kutoka Kwa Shabiki Yako Namba Moja (1),

AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Karibu Upate Vitabu Vingine Vya Kiingereza Kwa Lugha Ya Kiswahili Rahisi.

Ni Hapa Bonyeza https://t.me/somavitabutanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post