Jinsi Ambavyo Tunaweza Kuboresha Elimu Yetu na Kuyafurahia Maisha…

Jinsi Ambavyo Tunaweza Kuboresha Elimu Yetu na Kuyafurahia Maisha…

Rafiki Yangu Mpambanaji,

Haijalishi kama una Elimu Ya Darasa La 7, Kidato Cha 4, Astashahada, Shahada, au Uzamivu na kuendelea…

Kitu muhimu unachohitaji kwenye Karne hii ya 21 ni Elimu sahihi ya mafanikio.

Ndio Umesikia Vizuri, ni

Elimu Sahihi Ya Mafanikio.

Haitoshi tu kuwa na Elimu Kubwa bali unahitaji Maarifa sahihi yanayoendana na karne hii ya 21,

…ambayo yatakuwezesha kupata mafanikio makubwa sana.

Huwezi kufanikiwa kama hujielimishi kwa maarifa sahihi.

Maarifa sahihi yanakuwezesha wewe kuona kule unakokwenda na kukuwezesha kuamka tena pale unapoanguka.

Katika safari ya mafanikio, kuanguka ni swala la kawaida, unahitaji elimu sahihi ili uweze kuinuka na kuendelea na safari.

Elimu pia inayafungua macho yako kuziona fursa.

Jambo moja la kushangaza kuhusu fursa ni kwamba, zipo mbele yako kila siku, tena pale pale ambapo upo.

 Lakini huzioni kwa sababu macho yako hayajui jinsi ya kuziona fursa hizi.

Elimu sahihi inakuwezesha wewe kuziona fursa ambazo tayari zipo mbele yako.

Kadiri unavyokuwa na ufahamu mkubwa juu ya jambo lolote, ndivyo unavyoweza kuziona fursa nyingi zaidi hata kama wengine hawazioni.

Hivyo chochote unachofanya, hakikisha unakijua vizuri sana.

 Hilo litakuwezesha wewe kuziona fursa nyingi zaidi.

Wengi sana kama wewe wanataka kufanikiwa lakini wanasahau kuwekeza ndani yao kwanza.

Kwa hiyo kama unataka mafanikio ya kweli, lazima uwekeze ndani yako kwanza.

Hakuna mafanikio ya kweli bila ya uwekezaji ndani yako.

Na uwekezaji tunaozungumzia hapa ni uwekezaji wa maarifa na taarifa sahihi za mafanikio.

Lazima uwe mtu wa kujifunza kila siku na kila wakati.

Lazima usome vitabu, usome makala na machapisho yanayohusu kile unachofanya na mafanikio kwa ujumla.

Na muhimu zaidi, pale unapokuwa kwenye safari, geuza safari yako kuwa chuo cha kujifunza.

Fanya hivyo kwa kusikiliza vitabu vilivyosomwa na hivyo kujifunza huku ukiendelea na safari yako.

Uzuri ni kwamba maarifa sahihi unayotakiwa kuwa nayo, sasa yapo karibu yako.

Unachotakiwa kufanya ni kusoma vitabu sahihi vitakavyoboresha maisha yako.

Kama vile utakaposoma kitabu cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO,

…Utaweza Kuboresha Maisha Yako Kwa Kutumia KANUNI Itakayokuwezesha Kuidhibiti Asubuhi Yako, Kuushinda Mchana Wako, na Kuweka Umakini Wako Kwenye Jioni Yako.

Ina maana ukiweza kuitumia iyo kanuni kwa usahihi na ukaweza kukamilisha hayo mambo matatu hapo juu hakika utaweza KUYAFURAHIA MAISHA YAKO.

Haina maana kama huyafurahii maisha yako.

Kama mtoto mchanga anaweza kuyafurahia maisha yake kwa nini wewe ushindwe?…

Amua leo kubadilisha hatima ya maisha yako kwa kusoma kitabu kipya cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO.

Kupata Kitabu Chako Sasa hivi Tuma Ujumbe Mfupi Unaosomeka “NAWEKA ODA YA KITABU CHA KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO”

Kwenye WHATSAPP Namba 0752977170.

Kisha Nitakupa Utaratibu Wa Kupata Kitabu Chako.

KWA SABABU, Ya Maombi Ya Wateja Wetu Wengi, tumeongeza siku 1 mbele ya kupata kitabu hiki kwa OFA Ya Tshs 14,999TU! Badala Ya Tshs 20,000 NZIMA.

OFA Hii Inaisha Kesho Tarehe 17|06|2022 Siku Ya Ijumaa Kabla Ya Saa 6 na Dakika 1 Mchana.

KUMBUKA; Ukichelewa OFA Hii LEO , Kuanzia Kesho Mchana Utakipata Kwa Tshs 20,000 NZIMA.

Tuma Meseji Inayosomeka “NAWEKA ODA YA KITABU CHA KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO”

Kwenye WHATSAPP Namba 0752977170.

Kama Upo Ndani Ya Dar es salaam utaletewa ulipo, kwa upo mkoani utatumiwa kwa basi.

Kila Lakheri,

Nakupenda.

Kutoka Kwa; AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Bonyeza Link Hapo Chini Kupata Vitabu Zaidi Ya 100…

https://t.me/somavitabutanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post

9 December 2022.9 December 2022.

9 December 2022. Rafiki Yangu, Kuna changamoto tano (5) kubwa zinazokuzuia kufanikiwa. 1. Fedha, madeni na uwekezaji. 2. Mshahara kutokutosheleza. 3. Biashara kuwa na changamoto. 4. Kukata tamaa. 5. Simu