Fursa Mpya Ya Kuwa Mtu Maarufu Tanzania 2022…
Rafiki Yangu Mpambanaji,
7|3|2022 Mr Samweli alinipigia simu mida ya saa 3 na nusu Asubuhi, ikumbukwe huyu ni client wetu anayeishi maeneo ya KABWE-MBEYA TANZANIA, ni kijana wa miaka 33 mwenye watoto wawili wa kike QUEEN na LEAH,
…alikuwa hana uwakika na kesho yake hivyo aliishi maisha yake akiwa na hofu kubwa, kwa ufupi aliishi kwa taabu sana na kama vile alikuwa ana BETI maisha yake mwenyewe.
Alipambana sana na kila fursa inayopita mbele yake, mwisho kuishia kutapeliwa kibaya zaidi alitumia nguvu nyingi bila mafanikio , kupoteza pesa nyingi , muda mwingi kwake lilikuwa ni jambo la kawaida sana , kiasi kwamba hadi kufikia kujikatia tamaa,
…aisee maumivu ya kutokuwa na uhakika na kesho yako inauma asikwambie mtu, ni unakuwa mtu wa mashaka mashaka na kukosa utulivu mda mwingi unakuwa mtu wa ohahe hae, kipindi hiki kilimnyima usingizi kabisa.
Kila akifikiria msoto anaopitia anachoka kabisa , akiangalia nguvu anazotumia na matokeo anayoyapata hayalingani kabisa ni kama vile kujaza maji kwenye tenki lililotoboka hali hii ilimpa hasira sana na kushindwa kupata usingizi kabisa.
Aliishi maisha yake akiwa ni mtu wa kuiga wengine na kusahau kabisa kutumia uwezo ambao tayari upo ndani yake kwa kifupi alikuwa mtumwa wa watu wengine, yeye kazi yake ilikuwa ni kujihusisha na kila mtu na kila mahali yupo hajali muda hana ratiba hivyo kupelekea kuwa mtu wa jazba sana mwenye stress,
…kwa sababu ya stress zake ilipelekea kuvunja mahusiano na watu wake wa karibu na kila anayejihusisha naye, aliishi maisha ya hovyo sana, hakuna aliyekuwa ana mheshimu tena.
Mambo yalianza kubadilika siku ya kwanza pale alipoanza kusoma Sura ya Kwanza Ukurasa wa 19 wa Kitabu cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKO, baada ya kusikia taarifa hii ilibidi nivute kiti niketi baada ya kusimama kwa muda mrefu, kwa sababu mwanzo alivyokuwa anasimulia nilijua ni basi tena kashajikatia tamaa.
…ndio baada ya kumaliza kusoma sura ya kwanza akagundua maana ya mafanikio kwake na jinsi ya kutumia uwezo mkubwa wa kipekee ambao tayari upo ndani yake, akashtuka kumbe alikuwa anaishi kama mzima bila ya yeye kujijua pamoja na umri wote alionao kumbe bado alikuwa hajajitambua aisee ilimpa hasira zaidi.
Anakwambia SASA HIVI! anaishi ndani ya uwezo wake wa kipekee ambao tayari upo ndani yake na anayafurahia maisha yake , anapata utulivu wa kiakili na kimwili , uhuru kamili na muda mzuri wa kukaa na kufurahia maisha na awapendae hana stress tena.
Anahisi ni kiumbe aliyebarikiwa sana, anajithamini, anayatawala maisha yake, muda wote anajiona kiongozi nasio mfuasi tena , anajiamini kiasi kwamba hababaiki tena.
…amekuwa mtu wa watu kila mtu anampenda na wanapenda kujihusisha naye kwasababu ameanza kupata UMAARUFU ndani ya mda mfupi sana, baada ya kumaliza kusoma kitabu chake cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.
Hafuati mkumbo, hapotezi mda hovyo tena, kwa ufupi ANAJUA ANACHOKITAKA NA JINSI YA KUKIPATA, kwa sasa ana Amani ya moyo wake utulivu wakutosha na analala fofofo kama mtoto mchanga kwa sababu ana uhakika na kesho yake anaamini kesho yake itakuwa bora zaidi kuliko leo,
…Ina maana ana RAMANI kamili ya maisha yake, anajua anapokwenda kwahiyo hawezi kupotea tena.
NILICHOJIFUNZA; Kutoka kwa Mr Samweli ni kwamba ukiweza kujua maana ya mafanikio kwako na kutumia uwezo wa kipekee ambao tayari unao ndani yako, dunia ipo tayari kukupa chochote unachotaka huku ukipata uhuru kamili na furaha ya kudumu,ata kama unaishi BUZA KWA MPALANGE,
…ila ukienda tofauti na hivi utateseka sana zaidi ya punda mbeba madumu ya maji.
Mpendwa Mpambanaji, kama leo wewe unataka kupata fursa ya kupata U MAARUFU ndani ya muda mfupi sana nakushauri uanze kufungua kitabu chako na kuanza kusoma SURA YA 1 Ukurasa wa 19 wa kitabu cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO.
Kama bado haujakipata kitabu chako, SASAHIVI! nitumie meseji yenye neno “UMAARUFU” kwenda WhatsApp Namba 0752977170. Kisha nitakupa utaratibu wakupata kitabu chako.
KUMBUKA; Watu 7 Wa kwanza Nitawapa Zawadi Yenye Thamani Ya Dola 25 ($25).
Shabiki Yako Namba Moja,
AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|
Karibu,www.somavitabu.co.tz