Rafiki yangu nakuamini unaweza kuyafikia malengo yako kwa 100%. Na pia naamini unaweza kufanya makubwa zaidi ya sasa. Ni kama juzi tu nilivyoonana na Shaqir Mwenge hapa Dar. Lakini ni
SIRI NI HII; Kubali Majukumu Yako, Hata Kama Ni Magumu. Rafiki Yangu, Vp Hali Yako? Siri ipo hapo kwenye kukubali majukumu yako. Nakubaliana na wewe kwamba, Maisha ni magumu, Ndiyo.
Jinsi Ya Kupata Amani na Furaha Kwenye Hali Yoyote Ileā¦. Hapo zamani kwenye kijiji kilichoitwa AMANI. Aliishi mzee maarufu aliyeitwa Masta Khan. Huyu Masta Khan alikuwa ni mzee mwenye hekima