Malengo 100%; Hii Ndio Njia Sahihi Inayotumiwa Na 1% Ya Wataalam Duniani Ya Kuweka Malengo Ambayo Utayafikia.

Rafiki yangu nakuamini unaweza kuyafikia malengo yako kwa 100%.

Na pia naamini unaweza kufanya makubwa zaidi ya sasa.

Ni kama juzi tu nilivyoonana na Shaqir Mwenge hapa Dar.

Lakini ni miezi 7 sasa imepita.

Tangu Shaqir akiri kabisa hajawahi kufikia lengo lolote kwa 100% na kilichokuwa kinamuumiza zaidi ni kwamba alifuata njia zote za kuweka malengo alizofundishwa na wakufunzi mbalimbali,

…lakini wote walikuwa wanafundisha vitu vinavyofanana yaani aanze na LENGO, HATUA, MATOKEO Kisha HISIA, na kupelekea kufeli kila mara.

Ghafla mambo yalianza kubadilika pale nilipomshirikisha njia sahihi ya kuweka malengo ndipo akaanza kupata matokeo na sasa anaweza kuyafikia malengo yake kwa 100%.

Na anafuraha sana kwasababu hiki ndicho kitu kilichokuwa kinamnyima usingizi.

Lakini pia njia hii hazipo mbali sana bali zipo ukurasa wa 221 wa kitabu hiki cha MJASIRIAMALI MJANJA.

Kwahiyo kama bado hujaletewa kitabu hiki bonyeza hii link https://wa.link/4io71u.

Na wewe utarudisha tabasamu lako leo.

Na Hii Meseji Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

Bwana Amir Ramadhani,

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania |

|SalesConsultant |

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post