Jinsi Ya Kumgeuza Mteja Kutoka Mwangaliaji Mpaka Mnunuaji.

Jinsi Ya Kumgeuza Mteja Kutoka Mwangaliaji Mpaka Mnunuaji.

Habari Yako!

Rafiki yangu unayetaka kupata wateja wengi zaidi na kukuza mauzo yako mara mbili (2) zaidi ndani ya mwezi mmoja (1).

Usiwe na wasiwasi, mpaka mwisho wa habari hii fupi utapata mfumo rahisi utakaokupa vitu vyote kwa pamoja.

Ipo hivii,

Ili kuweza kuwashawishi asilimia 97 ambao hawapo tayari kununua wawe tayari kununua unachouza, unahitaji kuwaelimisha.

Pale wateja tarajiwa wanapokuwa hawana maarifa sahihi wanakuwa kwenye hali ya wasiwasi ambao unawafanya washindwe kufanya maamuzi ya kununua.

Kwa kuwaelimisha kupitia kuwapa maarifa sahihi, unawapa uhakika ambao unawafanya waweze kufanya maamuzi ya kununua.

Uzuri ni kwamba, kama wewe ndiye unayewaelimisha, wanashawishika zaidi kununua kile unachouza kwa sababu tayari

umewapa elimu ya kutosha na wameweza kuelewa.

Ili uweze kukamilisha hilo, lazima ujumbe unaoutoa uwe na maarifa yenye nguvu, uwe unawaelimisha pamoja na kuwaburudisha.

Wafanyabiashara wengi huwa wanakosea hapa kwa kutumia ujumbe wa kujitangaza au kueleza sifa za biashara zao badala ya kuwaelimisha wateja kwenye matatizo au mahitaji yao.

Kwa kutumia njia hii ya kuelimisha, unakuwa umebadili hali ya kutafuta wateja.

Badala ya wewe kuwa ndiye mtu unayewakimbilia wateja ili kuwauzia, wateja wanakukimbilia wewe kuja kununua.

Wateja wanakutafuta kwa sababu umewanufaisha sana na maarifa unayowapatia.

Wateja wanakutafuta kwa sababu wanataka uwasaidie zaidi.

Kupitia maarifa yako wameshaona tatizo walilonalo na jinsi lilivyo kikwazo kwao na wanaamini wewe ndiye mtu sahihi wa kulitatua.

Hii ni njia yenye nguvu sana, kwa sababu wateja wanakutafuta zaidi wewe kuliko unavyowatafuta wewe.

Kwa kifupi, mfumo unaotengeneza unakuwa na hatua nne kubwa;

Na habari njema ni kwamba mfumo mzima wenye hatua nne (4) kubwa,

Utaupata kwenye kitabu hiki kipya kinachoitwa *CHUO CHA MAUZO*

Na leo unakipata kwa OFA Ya Tshs 29,999Tu! Badala Ya Tshs 50,000 Nzima.

Ukikichukua leo utakuwa uwe okoa Tshs 20,000 Nzima.

Kukipata piga simu namba ni hii 0752977170.

Usiwe na wasiwasi, Utaletewa au utatumiwa popote ulipo.

KUMBUKA; Mwisho Wa Ofa Ni Tarehe 30|11|2022. Siku Ya Jumatano.

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Na Kukupenda,

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania)

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post