Majaaliwa; Ushindwe Mwenyewe Kila Kitu Kimefanywa Kwaajili Yako.

Majaaliwa; Ushindwe Mwenyewe; Kila Kitu Kimefanywa Kwa Ajili Yako.

Rafiki Yangu,

Hakuna kipya kinachotokea duniani, yote tunayoona yakitokea sasa, yalishatokea tena huko nyuma.

Hata matatizo yako binafsi, kuna wengine walishayapitia.

Uzuri ni kwamba wapo walioweza kuyatatua na kuhifadhi suluhisho la matatizo hayo kwenye vitabu.

Hivyo unachohitaji wewe ni kujua kitabu kipi sahihi cha kukuvusha kwenye tatizo lako na kukisoma.

Kama una tatizo la fedha, yaani kipato hakitoshelezi, una madeni na maisha magumu, soma kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA,

… kinakupa misingi ya kuzingatia kwenye fedha na uweze kuvuka changamoto unazopitia.

Kama upo kwenye ajira na kipato hakitoshelezi,

…soma kitabu BIASHARA NDANI YA AJIRA na utajifunza jinsi ya kuanzisha na kukuza biashara yako ukiwa kwenye ajira.

Na kwasababu leo ni mwezi mpya ukivilipia vitabu hivi viwili utapata na soft copy ya simu yako ofisi yako bure kabisa.

Kumbuka Hii OFA Ni Ya Watu 7 Tu!

Wakitimia OFA Imeisha.

Kwahiyo Vyote Vitatu (3) Utavipata Kwa Tshs 39,999Tu!

Badala Ya Thamani Yake Halisi Ya Tshs 50K.

Kuvipata Piga Simu Sasahivi Namba Ni Hii 0752977170.

Utaletewa Au Utatumiwa Popote Ulipo.

Ndani Ya Dar es salaam ni FREE DELIVERY.

Karibu Sana.

Kutoka Kwa Rafiki Yako Anayekupenda Na Kukujali Sana,

Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post