Jinsi Ya Kupata Amani na Furaha Kwenye Mazingira Magumu…

Jinsi Ya Kupata Amani na Furaha Kwenye Hali Yoyote Ile….

Hapo zamani kwenye kijiji kilichoitwa AMANI.

Aliishi mzee maarufu aliyeitwa Masta Khan.

Huyu Masta Khan alikuwa ni mzee mwenye hekima na busara sana,

Alijulikana sana kwa uwezo wake wa kufundisha vizuri kwa ucheshi na kwa lugha rahisi sana.

Siku moja asubuhi pale kijijini alijitokeza kijana mmoja mwenye shauku kubwa ya kujifunza,

Aitwaye Adili huyu Adili alimfuata MAsta Khan na kumuomba ampe ufunguo wa kuwa na Amani na furaha Adili akamalizia kwa kuuliza Masta Khan unaweza kuniongoza?

Masta Khani akatabasamu kisha akakaa kimya kidogo.

Akajibu inawezekana mjukuu wangu mpendwa Adili,

Lakini sharti kwanza ufanye hili zoezi dogo,
Chukua hiyo ndoo ya blastiki  unayoiona hapo mbele yako na ,

Hilo beseni dogo lililopasuka,

Kisha nenda navyo mtoni ,

Lakini hakikisha unaijaza hiyo ndoo maji mpaka juu,

Adili  alibaki na mshangao lakini kwasababu alienda kwa lengo la kujifunza,

Akakubali kishingo upande alichoagizwa na Masta Khan,

Haraka haraka akawahi mtoni,

Kufika tu mtoni akaizamisha yote ile ndoo ya blastiki kwenye maji,
Ili awahi kumbe bana ile ndoo chini ya kitako imetoboka,

Adili anashangaa mbona ndoo haijai,

Kuja kuichunguza vizuri akakuta imetoboka,
Alihudhunika sana kisha akarudi kwa Masta Khan akiwa mpole sana,

Masta Khani baada ya kumkaribisha tena Adili akamuuliza IMEKUAJE?

Mbona hiyo ndoo haijajaa?

Adili akaanza kueleza mwanzo mwisho kilichomkuta,

Baada ya kumaliza kwa mshangao,

Na akitegemea masta Khani atamgombeza lakini,

Ilikuwa kinyume chake ,

Masta Khani akacheka kwa sauti kubwa ,

Hahahahahahagagagaagaga……..gaahaaaaahaha.
Masta Khani akamwambia Adili umefanya vizuri sana,

Kisha akamuuliza umepata somo kwenye hili?

Adili haraharaka akamjibu hapana Masta Khani nisingeweza kujaza ndoo kwasababu ndoo yenyewe imetoboka,

Masta Khani akamwangalia Adili na kumuonea huruma,

Akamwambia maisha ni kama ndoo iliyotoboka,

Adili Wote hatujakamilika kila binadamu unayemuona ana mapungufu yake,

Adili Hakuna aliyekamilika kwa 100%,

Adili Kumbuka Kuwa na Amani na furaha sio kwamba ni ukamilifu,

Adili Na sio kuhusu kuyakwepa mapungufu ,

Adili Bali ni kuangalia uzuri kwenye kila jambo ,

Adili Haijalishi ni baya kiasi gani lakini ukiwa makini utaweza kuuona uzuri pia,

Adili Na pia kumbuka kila jambo linauzuri wake na ubaya wake,

Hiko hivi Adili,

Ukifikiria mazuri utayaona mazuri,

Ukifiria mabaya utayaona mabaya,

Kwa mfano wewe ulikuwa unaifikiria ndoo iliyotoboka mda wote,

… na ndio maana ukasahau kuona mandhari nzuri na ya kuvutia iliyo pembezoni mwa mto,

…na ukasahau kabisa umuhimu wa maji tiririka.
Somo lilimuingia Adili,

Na ALIFURAHI SANA, na ALIKUWA na AMANI SANA.

Kwasababu lilibadilisha mtazamo wake na maisha yake kwa ujumla
Akabadilika na kujifunza kwamba kwenye hii dunia hakuna kilichokamilika,

…na hakuna aliyekamilika kwa 100%.

Anyway Umeshapata Kitabu Kipya Cha MTAALA WA UTAJIRI?

Kama Umekipata HONGERA SANA,

Lakini Kama Bado Piga Simu Sasahivi Kwenda 0752977170.

Na Utaletewa au Utatumiwa Popote Ulipo.

Badala Ya Tshs 50,000 Nzima Leo Utakipata Kwa Tshs 29,990Tu .

Na Huu Ujumbe Umandikwa Na Rafiki Yako Mwenye Kujali Mafanikio Yako.

Bwana Amiri Ramadhani.
|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||SalesConsultant |

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post