Kutoka 60 Mpaka 6…

Kutoka 60 Mpaka 6…

Rafiki Yangu Mpambanaji,

Habari Njema ni kwamba kile ambacho ulitakiwa ukifanye kwa dakika 60  leo unakwenda kukifanya kwa dakika 6 Tu!

Pata picha kwa dakika 6 Tu! leo hii unaboresha maisha yako, unaongeza ufanisi wako kazini , una ongeza kipato chako na unakuwa mtaalam.

Nakumbuka Miaka 10 iliyopita nikiwa bado najitafuta  nilikuwa nina malengo na mipango mikubwa ya kufanikiwa kwenye maisha kama ilivyo kwako.

Nilikosa muda kabisa wa kufanyia kazi malengo na mipango yangu.

Kwani kila siku nilikuwa bize (nmetingwa) sana.

Na hivyo nikawa nakosa muda wa kufanya yale ambayo ni muhimu.

Kushtukia siku imeisha huku nikiwa nimechoka sana kama punda na hakuna nilichokamilisha.

Hali hiyo ilinipa stress (Msongo Wa Mawazo) sana, kiasi kwamba nikawa sijithamini tena.

Roho iliniuma sana mpaka nikawa najionea huruma.

Kwa sababu nilikuwa ninaamini ukiwa na MALENGO MAKUBWA na MPANGO WA KUTEKELEZA, unakuwa umemaliza kila kitu na hivyo utafanikiwa.

Aisee hasikudanganye mtu, kupanga ni 1 na kutekeleza ni 2.

SIKUJUA! kama jina la mtu.

Kumbe bana MUDA NI ZAIDI YA PESA.

Na kwa kuwa watu waliokuwa wakinizunguka walikuwa wanaishi na msemo wa “NGOJA TUPOTEZE MUDA”

Na ni kweli tuliupoteza sana kwenye mambo yasiyo ya muhimu kama kucheza game,kuzurura,ushabiki nk.

Ghafla! Siku moja nikiwa sebuleni natafuta kitu mtandaoni nikakutana na makala kama hii yenye kichwa kinachosomeka “ ASUBUHI YA MIUJIZA”.

Asubuhi ya miujiza!!! nikashikwa na butwaa kwanza, yani nakuambia nilikuwa nimeketi kwenye sofa ikabidi nisimame juu sio kwa mshangao huo.

Hahahaha…nilifikiri ni kibonzo (Kichekesho) kumbe bana ni KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO.

Jamaa akaendelea kuchimbua iyo kanuni ya ASUBUHI YA MIUJIZA”.

Na nukuu alisema hivii

“ Ili Asubuhi yako iwe na miujiza unatakiwa ufanye mambo 7 kila siku asubuhi kwa DAKIKA 60 , kisha akaorodhesha mambo saba (7) yote kwenye makala yake, Baada ya kumaliza kuyataja akamalizia na swali linalosema hivi… Kuwa Mkweli! Je kwenye Haya Mambo 7 Huwa Kila Siku Asubuhi Unapoamka Unafanya Mambo Mangapi? “

Kimoyo moyo kabla sijazima data nikajijibu mwenyewe kwa aibu,

Ni kweli huwa nafanya jambo moja (1) Tu! Kati Ya Hayo 7.

Duuh! Uwezi kuamini jambo hilo ni kufanya mazoezi ya kuzunguka uwanja wa mpira na kucheza mpira wenyewe.

Nilitafakari sana siku nzima nilikuwa mpole mno kiasi kwamba nikawa najidharau,

….nakujiambia kimoyo moyo hivi kweli kwenye 7 napata 1.

 Na ni ndani ya dakika 60 TU! Badala ya Dakika 1440 kwa siku

Nikagundua ndio maana nilikuwa sifanikiwi kumbe wenzangu wanaziishi kanuni za mafanikio ndio maana wanafanikiwa.

Asikwambie mtu Leo hii ninayafurahia maisha kwa kufanya mambo yote 7 ndani ya Dakika 6 TU! Badala ya Dakika 60.

60 ni nyingi chukua 6.

Hii NDIO MAANA HALISI YA KUTOKA 60 MPAKA 6.

Na uzuri ni kwamba mambo yote 7 (saba) Unakwenda kuyafanya  ndani ya Dakika 6 TU! Badala Ya Dakika 60.

Baada ya kumaliza kusoma SURA YA KWANZA Ya Kitabu Cha KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO,

…utakuwa umeyafahamu mambo yote ya kuifanya Asubuhi yako iwe ya miujiza na Kanuni rahisi kabisa ya kufanya mambo yote 7 ndani ya dakika 6 TU!

Kama bado hujapata KITABU CHAKO KIPYA CHA KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO,

Nitumie meseji inayosomeka “KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO” Kwenye WhatsAPP Namba 0752977170.

Tayari Nimeshakulipia Tshs 10,000 NZIMA.

WATU WATANO (5) WA KWANZA WATAPATA VITABU VIWILI KWA OFA;

OFA Ya Vitabu Viwili (2) Kwa Tshs 29,999Tu Badala Ya Tshs 40,000 Nzima.

1.      KITABU; KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO.Tshs 14,999Tu Badala Ya Tshs 20,000.

2.      TABIA ZA KITAJIRI, Tshs 14,999Tu! Badala ya Tshs 20,000.

Ni leo tu wakishatimia OFA imeisha.

KUMBUKA; Mwisho ni LEO Saa 5:59 USIKU.

Ni watano (5) Tu! Watatoka Kwenye 60 Mpaka 6.

Nakupenda,

Kutoka Kwa Shabiki Yako Namba Moja (1),

AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Karibu Upate Vitabu Vingine Vya Kiingereza Kwa Kiswahili Rahisi Sana.

Ni Hapa Bonyeza https://t.me/somavitabutanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post