Habari msomaji,
Karibu kwenye mjadala wa kitabu kinachoitwa So Good They Can’t Ignore You ambacho kimeandikwa na mwandishi Cal Newport.
Kitabu hiki kimechambuliwa na uchambuzi wake unapatikana kwenye channel ya SOMA VITABU TANZANIA.
Katika mjadala huu tunashirikishana yale muhimu ya kujifunza kutoka kwenye kitabu hicho na kuyafanyia kazi.
Bonyeza hapo chini kusikiliza mjadala.
Ili upate nafasi ya kusoma chambuzi za vitabu pamoja na kushiriki mijadala, karibu ujiunge na channel ya SOMA VITABU TANZANIA kwa kufungua www.t.me/somavitabutanzania
Karibu sana.