Rafiki Yangu,
Nakumbuka Mwezi Wa 6 nilikutana na rafiki yangu wa siku nyingi anayeitwa Steve hapa hapa Dar.
Kiukweli Steve alikuwa ana stress sana kwasababu alikuwa anadaiwa na watu watatu (3) tofauti,
…hali hii ilimpa hofu sana na kuhisi kwamba hatoweza kulipa madeni hayo kwa wakati.
Kiukweli nilimuonea huruma sana na kwa namna alivyokuwa akiongea ilionyesha wazi kabisa ni kijana aliyejikatia tamaa.
Na kibaya zaidi alipambana sana usiku na mchana ili kuweza kulipa madeni anayodaiwa lakini juhudi zake ziligonga mwamba,
….akaenda mbali zaidi kuomba ushauri kwa ndugu na jamaa lakini ikashindikana mwisho akakata tamaa kabisa na kuamini kwamba hana uwezo wa kulipa hayo madeni kwa wakati.
Baada ya kumaliza kumsikiliza nikamwambia asiwe na wasiwasi anaenda kulipa madeni yote ndani ya mwezi mmoja.
Kisha nikamkabidhi kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, Nikamwambia akifika nyumbani afungue ukurasa wa 74.
Leo hii steve yupo huru anafurahia maisha na hadaiwi na yeyote.
SIRI nzima ipo ukurasa wa 74.
Kuipata piga simu sasahivi.
0752977170..
KUMBUKA; Watano Wa Kwanza Watapata Zawadi Ya Msimu Huu Wa Sikukuu.
Karibu Sana.
Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali na Kukuamini,
Bwana Amiri Ramadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MuuzajiBoraKuwahiKutokea|