KUMBUKA KUITAFUTA; Thamani Yako Imefichwa Kwenye Kile Kisichoonekana…
Mpendwa Mpambanaji, Happy Muungano Day…
Juzi mida ya saa 6 (Sita) mchana nikiwa najiandaa kutoka ofisini, gafla nilipokea simu ngeni kutoka kwa Madam aliyejitambulisha kwa jina la Salma,
…huyu Madam Salma anaishi maeneo ya Forodhani –Zanzibar, baada ya kumaliza kujitambulisha nikamkaribisha tena, kisha akaanza kutoa ya moyoni nimekuwa nikiwafuatilia kwa kipindi kirefu kutoka kwenye blog yenu ya (www.somavitabu.co.tz) nikampongeza .
Kwa Mshangao!… akaniambia kitu ambacho kilini ogopesha sana.
Nahisi Kufa Kufa…
…nikamuuliza kwa mshangao WHAT?…(Nini?…)
Aisee niliishiwa na pozi kabisa, nilikuwa nmeketi kwenye kiti ikanibidi nisimame kwa mshituko nilioupata, kama ningekuwa na presha ningedondoka chini.
…nikamuita Madam Salma, akaitikia Abeee (Kwa Sauti Ya WasiWasi Sana),
…nikamuuliza tena, Madam Salma unamaansha nini unavyosema unahisi KUFA KUFA?
Akajibu kwa Lafudhi Ya KIZENJI. Namaansha sina tumaini tena, nmeshajikatia tamaa kabisa ni bura nife, sioni umuhimu wa kuishi hapa duniani, kwa kifupi sina thamani yoyote ninayoitoa kwa watu, kila ninayeshirikiana naye mwisho ananitenga wananiona sina akili , sina thamani , ufanisi wangu kazini ni wa chini mno, kila sekunde ninaishi kwa mashaka sana, sina furaha kabisa nasijui ni kwa nini? Yani nishajichokea na haya maisha.
…kibaya zaidi kila nikiwaangalia wenzangu ni kama wamebarikiwa sawa na wanaonekana wanayafurahia maisha yao sana, ni kama vile wanaona hapa duniani ni sehemu pazuri pa kuishi. Kwangu nitofauti Nifanyaje?
Pole sana Madam Salma, najua maumivu unayopitia haupo pekee yako, kuna watu chungu nzima (watu wengi) wanapitia hali kama yako tena afadhali wewe. Kuna watu nilikuwa nawafahamu wameshatangulia mbele ya haki (wamefariki) walikuwa na changamoto zaidi ya za kwako.
…mimi enyewe miaka 10 iliyopita nilikuwa nina changamoto zaidi ya za kwako, nikianza kukusimulia hapa utaanza kutoa machozi. Kwa bahati nzuri niliweza kuzitatua zote ndani ya mda mfupi na kuwa mshindi hata wewe leo unaenda kuwa mshindi.
Nikutie moyo sekunde 5 zijazo unaenda kupata suluhisho la kuduma la changamoto zako zote ulizonitajia.
Nikamuita kwa mara nyingine tena, Madam Salma…
…akaitikia abee kwa sauti yenye matumaini . Kabla sijakushauri cha kufanya unaonaje nikakuuliza maswali matano (5) kwanza?…
Rama usijali niulize…(Weka Lafudhi Ya Kizenji)
Nikamwambia kila swali ninalo muuliza ajibu ndiyo au hapana,
Nikaanza kumuuliza…
- Je Unaijua Nguvu Ya Kipekee Uliyonayo Inayo kutofautisha na Viumbe Wengine?… Akajibu HAPANA.
- Je Unajua Njia 30 Za kukuwezesha Kutumia Ubongo Wako Vizuri?…Akajibu Hapana.
- Je Unajua Tabia 18 Za Kuwa na Furaha Ya Kudumu?… Akajibu Hapana.
- Je Unajua Hatua Sita (6) Za Kufanya Taajudi Itakayokupa Chochote Unachotaka?…Akajibu Hapana.
- Mwisho nikamuuliza, Je Unajua Jinsi Unavyoweza Kupata chochote Unachotaka Kwenye Maisha Yako ( Mambo 24 Muhimu Ya Kujua Kuhusu Uwezo Wako Mkubwa)…Nalo Akajibu Hapana
Nikaamua kumwambia ukweli bila kumficha chochote ya kwamba bila kukaa chini na kupata majibu ya maswali yote niliyokuuliza utaendelea kusumbuka sana , kila kona na hiyo hali yako ya kuhisi KUFA KUFA haitakuacha salama.
Madam Salma, akaniuliza kiupole,
…Rama unamaansha nini unavyosema hali ya kuhisi kufa kufa haitaniacha salama?…
Nikamjibu; KWA SABABU na kwa bahati NZURI uliyonayo majibu ya maswali yote niliyokuuliza unakwenda kuyapata ndani ya kitabu kinachoitwa “UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA”
Madam Salma, akaniuliza kwa sauti ya kuchangamka
…Napataje hili suluhisho jamani?…
Nikamjibu ondoa shaka kitabu cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA, tunakwenda kukutumia leo hii kwa BOTI LA AZAM kutoka hapa Dar es salaam kuja Zanzibar Ndani ya masaa 24 utakuwa umepokea kitabu chako.
…kisha akatuma Tshs 24,999 Pamoja na gharama ya usafiri. Kwenda MPESA Namba 0752977170, ni kama tu wateja wetu wengi wanavyofanyaga kila siku.
Na tunavyozungumza hivi sasa ameshajibu swali la kwanza na ameanza kufanyia kazi majibu yake, kwahiyo amebakiza maswali manne (4) tu!..
…nah ii imekuja baada ya kunipigia simu jana saa 11 jioni, ameanza kujithamini upya , kwa sasa amegundua thamani yake ipo ndani yake na sio nje tena kama jinsi alivyokuwa ana amini hapo mwanzo.
Habari njema, ni kwamba hata wewe leo hii unaweza kuongeza thamani yako mara dufu kwenye kitu /mtu yeyote unayejihusisha naye, ndugu, jamaa, marafiki. Na utaweza kuongeza ufanisi wako kazini na utaishi kwa amani kama mtoto mchanga wa miezi mitatu.
Kama unacho nakushauri urudie kukisoma kwa mara nyingine tena pole pole na ufanyie kazi yale yote utakayojifunza.
…Kama mpaka sasa haujapata kitabu chako nitumie nitumie meseji kwenye whatsapp namba 0752977170. Kisha nitakupa maelekezo ya jinsi ya kupata kitabu chako na pia KWASABABU Leo Ni MUUNGANO DAY.
Ukija WhatsApp nitakupa bonge ya OFA NYINGINE YA VITABU 11, kwahiyo leo kwako ni SHEREHE huku unasherekea MUUNGANO huku unasherekea vitabu vizuri.
Kila Lakheri.
Shabiki Yako Namba 1,
AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|
Karibu, www.somavitabu.co.tz