Artificial Intelligence (Akili Bandia); Mbinu Kabambe Za Kumshinda Akili Bandia (AI)

Rafiki yangu kwa mfano leo ukifanikiwa kuzijua hizi mbinu hakika hautakuwa na stress tena na mabadiliko yanatokea sasa ulimwenguni,

…kwasababu utazidi kuwa mtu bora zaidi.

Haijalishi kwasasa hizi akili bandia zinafanya kazi nyingi kiasi gani,

… lakini ukiweza kuzitumia mbinu hizi mapema basi utazishinda na utazidi kuwa mtu bora zaidi.

Na pia unaweza ukawa unajiuliza mbona umechelewa kuzijua na kuanza kuzitumia mapema ,

…na wala hata usiwe na wasiwasi kabisa kosa sio lako kabisa kosa lipo kwenye mbinu hizi kufichwa na kuwa siri.

Kwahiyo wachache wanazozitumia wameendelea kunufaika nazo na kuwafanya kuwa bora zaidi.

Anyway kwasababu leo pia ni weekend nimetoa ofa ya watu 13 Tu wa kwanza,

… kwahiyo atakayenunua kitabu chochote cha HARD COPY kutoka kwetu basi atapata mbinu hizi bure za *JINSI YA KUMSHINDA AKILI BANDIA*.

Lakini kama unavyo vitabu vyetu vyote vya HARD COPY basi mbinu hizi utazipata kwa Tshs 3,999Tu!.

Kwa mfano ukibonyeza hapa sasahivi *https://wa.link/kb4vyd*.

Utatumiwa.

Na Hii Meseji Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali Sana,

|Bwana Amir Ramadhani|

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

|SalesConsultant|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post