Nafasi 10 Pekee Zimebaki Kupata Basic Financial Education (ELIMU YA MSINGI YA FEDHA) Chukua Hatua Sasa Hivi.

Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilikuwa nina tabia ya kivivu ya kusema “ NITAFANYA KESHO”.

Niliendelea na hiyo tabia mpaka pale nilipokutana na  hii kauli ya ushindi inayosema.

“Kesho ndio kifo cha watu wengi kufikia ndoto zao kubwa za ushindi. Watu hawa wanajua kabisa ni kitu gani wanataka. Na wanajua ni hatua gani wanahitaji kuchukua, lakini inapofikia kuchukua hatua nguvu zote zinawaishia na kusema nitafanya kesho. Hii inakuwa njia rahisi sana ya kutoroka kufanya mambo makubwa ambayo yangepelekea kufikia ushindi mkubwa kwenye maisha yao.”

Kiukweli hii kauli ndiyo iliyonibadilisha kutoka kuwa  na tabia ya kivivu mpaka kuwa na tabia ya kishujaa.

Rafiki, Wakati Ulionao Ni Sasa.

Hakuna wakati mwingine ambao una uhakika nao kwenye maisha yako zaidi ya wakati ulionao sasa.

Hakuna siku nyingine ambayo una uhakika nayo kwenye maisha yako zaidi ya siku hii nzuri ya leo.

Kama kuna kitu kizuri unataka kufanya kwenye maisha yako, huna wakati mwingine mzuri wa kufanya zaidi ya wakati huu.

Hakuna siku itakuwa nzuri kwako kufanya kitu hiki zaidi ya siku ya leo.

Leo ni siku ya kipekee, leo unaweza kuianza safari ya mafanikio, leo unaweza kuimarisha safari yako ya mafanikio, leo unaweza kuanza kufanya kile ambacho kitaleta tofauti kubwa kwenye maisha yako.

Ni leo na sio siku nyingine yoyote.

Ni rahisi kufikiri kwamba kesho itakuwa siku bora sana kwako kuanza.

Ni rahisi kuona kesho ndio wakati mzuri wa kuanza safari ya ushindi.

Lakini huku ni kujidandanya. Hakuna aliyekuhakikishia kesho. Hujui kesho ni mambo gani yataibuka ambayo hukuyategemea.

Pamoja na mategemeo yako mazuri, kesho itaanza kwa namna nyingine na huwezi kujua ni kipi kitakuja hiyo kesho.

Rafiki kama mpaka sasa hujapata ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, bila kupepesa macho unajichelewesha. Chukua hatua sasa hivi usiendelee kujichelewesha TENA.

Ndani Ya  kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA, kimezungumzia “ MBINU ZILIZOWASAIDIA MAELFU YA WATU KUFIKIA KWENYE UHURU WA KIFEDHA NA UTAJIRI”

Kwa kusoma kikamilifu, na kufanyia kazi yale yote utakayojifunza kupitia kitabu hiki, mategemeo yangu ni kwamba;

  • Utaelewa misingi muhimu ya fedha na kuweza kuiishi, kuanzia kifikra mpaka kimatendo.
  • Utaweza kuongeza kipato chako kupitia shughuli unayofanya sasa na hata kuanzisha chanzo kipya cha kipato.
  • Utaweza kupunguza matumizi yako na kudhibiti matumizi.
  • Utaanza kuweka akiba kama bado, na kuendelea kuboresha uwekaji wako wa akiba kama ulishaanza.
  • Utaanza Kuwa Na Uwekezaji.
  • Utaanzisha biashara au kuimarisha biashara ambayo tayari umeshaanza.
  • Utakuwa na bima kwa maeneo muhimu ya maisha yako.
  • Utawafundisha watoto wako misingi muhimu ya kifedha.
  • Utatumia fedha zako kuyafanya maisha ya wengine kuwa bora zaidi.
  • Utaanza safari ya kuelekea kwenye utajiri na uhuru wa kifedha , hutarudi tena kwenye umasikini na madeni.

Rafiki, Kitabu hiki ni tofauti kabisa na vitabu vingine. Siyo kitabu cha kusoma na ukafurahia kwamba umekisoma, bali ni kitabu kinachokutaka uchukue hatua ili maisha yako yawe bora zaidi.

Hivyo baada ya kusoma kitabu hiki, nashauri uchukue hatua hizi tatu muhimu;

Moja; Kuwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato. Kama umeajiriwa anzisha biashara ya pembeni , hata kama ni ndogo kiasi gani. Kuwa na kitu cha ziada unafanya , ambacho hata kama mwanzoni hakikupi kipato , kinakutengenezea njia ya kuwa na kipato zaidi baadaye.

Mbili; Kuwa na uwekezaji ambao unafanya. Uwekezaji huo uwe unafanya kidogo na kurudia rudia.

Tatu; Endelea kujifunza kuhusu fedha, biashara na hata mafanikio kwa ujumla.

Kwa kuchukua hatua hizi tatu, utaongeza kipato chako maradufu na hutakuwa maskini tena.

MUHIMU; Na iwapo utapata kitabu hiki , ukakisoma na kufanyia kazi yale yote uliyojifunza halafu usipate zaidi ya laki 2 ndani ya mwaka mmoja , nijulishe na nitakurudishia fedha uliyolipia.

Nina uhakika sana na maarifa yaliyopo kwenye kitabu hiki , yatakusaidia sana kutoka pale ulipokwama kifedha.

Kitabu hiki huwa kinauzwa TSH 20,000, Ila LEO nitakusaidia kukipata kitabu hiki kwa uwekezaji wa TSH 14,999Tu! .

Na Ili Kupata Kitabu Chako Wasiliana na Namba 0752977170 na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo ndani ya Afrika Mashariki.

NYONGEZA; Unaposoma kitabu hiki, kuwa na kijitabu ambacho unaandika yale unayojifunza.

Mwisho wa kila somo kutakuwa na maswali ya kujiuliza na kujijibu na hatua za kuchukua. Yote hayo yaandike kwenye kijitabu chako kwa rejea ya baadaye.

Jambo muhimu sana ambalo nitaendelea kukusisitiza kila mara ni kwamba hakuna kitu kitakachofanya kazi kama wewe hutachukua hatua.

Nikutakie usomaji mwema, upate maarifa sahihi na uweze kuchukua hatua kwa ajili ya mafanikio yako.

NB; Zimebaki Nafasi 10 Pekee Na OFA Hii Inaisha LEO Tarehe 27 Mwezi Machi 2021, Siku Ya Jumamosi, Saa Nne(4) Kamili Usiku.

Wakati Mzuri Ni Leo, Wakati Mzuri Ni Sasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post