Namna Ya Kuwasaidia Masikini Wengi Tanzania…

Namna Ya Kuwasaidia Masikini Wengi…

Mpambanaji, Habari!…

Namna Rahisi Ya Wewe Kuwasaidia Masikini ni Wewe Kuwa Tajiri.

Victor na Elisante ni marafiki wa siku nyingi,tokea wakiwa wanaishi Kinondoni  hapa jijini Dar es salaam.

2017 wote wawili walipata bahati ya kudhaminiwa Million 10, kwa kila mmoja na Tajiri anaye julikana kwa jina la Said A. Saleh anayetokea UK ( Falme Za Kiarabu).

…huyu Tajiri aliwapa hizo Millioni 10 kwa sharti kwamba baada ya miaka 3 kila moja awe amezalisha x 10 zaidi ya kiasi cha pesa alichowapa, ambaye atashindwa kufikisha kiasi hicho cha pesa basi atalazimika kurejesha fedha zote alizopewa.

Baada ya miaka mitatu (3) kupita Victor alifanikiwa kuzalisha Millioni 100  huku Elisante akiwa amebakiza Million 5 Kati ya zile 10 alizopewa, ijapokuwa wote walikuwa wanafanya biashara zinazofanana.

Hali hiyo ilimpa stress sana( msongo wa mawazo) Elisante. Akizingatia aliweka  nguvu kubwa sana kwenye biashara zake, mwisho akashindwa kupandisha mtaji wake. Akaamua kutuma meseji ya kuomba radhi kwenye WhatsApp Ya Yule Tajiri aliye mfadhili ile Million 10 , miaka mi 3 iliyopita.

Tajiri baada ya kupata meseji alimuomba Elisante amjibu kwanza maswali atakayomuuliza.

Maswali Aliyoulizwa Elisante Yalikuwa Kama Ifuatavyo;

  1. Je Unaielewa  vizuri Sayansi Ya Kupata Utajiri?…
  2. Je Unazijua Tabia 10 Za Kitajiri Za Kuishi Kila Siku?…
  3. Je Unazijua Imani 17 Za Kujijengea Ili Upate Utajiri Mkubwa?…
  4. Je Unazijua Tabia 50 Zitakazokufikisha Kwenye Utajiri, Furaha na Mafanikio?…
  5. Mwisho akamuuliza Je Unazijua Hatua 8 Za Kukufikisha Kwenye Utajiri Mkubwa?…

Majibu Ya Elisante Yalikuwa Ni HAPANA, Kwenye Maswali yote Ma 5 Aliyoulizwa Hapo Juu…

Baada ya hapo Tajiri akawasiliana na Victor kwa whatsApp. Akamuuliza maswali matano (5) kama alivyofanya kwa Elisante. Majibu yake yalikuwa ni NDIYO kwenye maswali yote aliyoulizwa.

Tajiri hakuishia hapo akamuuliza tena UNAWEZA KUNITAJIA MAMBO  10 UNAYOFANYA KILA SIKU?…

Victor akajibu ndiyo kisha akaanza kuorodhesha mambo 10  anayofanya kila siku.

1.Kila Ninatumia chini ya saa moja kuangalia Tv na kutembelea mitandao ya kijamii.

2.Kila siku ninafanya mazoezi angalau dakika 30.

3.Kila siku ninadhibiti kiwango cha chakula ninachokula.

4.Kila siku ninajisomea kwa angalau dakika 30.

5.Kila siku ninakuwa na orodha ya vitu ninavyofanyia kazi na kukamilisha vitu hivyo.

6.Kila siku ninadhibiti matumizi ya mtandao wa intaneti , na kuutumia kwa faida.

7.Kila siku ninawasiliana na clients wangu.

8.Sivuti sigara na wala situmii kilevi cha aina yoyote.

9.Kila siku ninakumbuka majina ya watu muhimu ninaokutana nao.

10.Kila siku ninakumbuka matukio muhimu na kuchukua hatua.

Tajiri alifurahi sana baada ya kupata majibu ya Victor.

…alifurahi sana kwa sababu mambo yote 10 aliyoorodhesha yanafanana kabisa na mambo anayoyafanya kila siku.

Kisha aka screenshot na kumtumia Elisante kwenye whatsApp Yake.

Elisante alipenda namna Victor alivyojibu maswali aliyoulizwa na kugundua utofauti wake na Victor, unaanzia kwenye tabia.

Akaahirisha uamuzi wake wakuacha biashara na badala yake alitaka kujifunza zaidi kwa mwenzake Victor…

Elisante baada ya kujifunza kutoka Victor , sasahivi amefikisha mtaji wa MILLION 50 Ndani Ya Mwaka Mmoja (1)Tu!…

FUNZO; Utofauti wa Matajiri na Masikini Unaanzia Kwenye Tabia, ikiwa inamaana kwamba mambo anayofanya Tajiri Kwenye siku yake ni Tofauti kabisa na mambo anayofanya Masikini. Kwa Lugha rahisi kabisa leo hii ukiamua kufanya mambo wanayofanya matajiri kila siku hakika utapata utajiri, furaha na mafanikio makubwa sana.

Na njia ya kumsaidia masikini ni wewe kuwa Tajiri.

Hata wewe sasahivi unaweza kuchagua kujifunza ili uweze kutoka kwenye Umasikini ,na  ili uwasaidie ndugu, jamaa, na marafiki  wengi kupata Utajiri, Furaha na Mafanikio Makubwa.

Jipatie leo Maarifa ya kupata UTAJIRI, FURAHA na MAFANIKIO kwa kununua kitabu chako cha TABIA ZA KITAJIRI.

KWASABABU LEO ni Sikukuu Ya EID Utakipata Kwa Bei Ya OFA ya Tshs 14,999Tu! Badala Ya Tshs 20,000.

Kitabu kipo katika mfumo wa HARDCOPY.

Kama Upo Dar es salaam unaletewa popote ulipo NDANI YA MASAA 24  na kama upo mkoani tutakutumia kwa basi popote ulipo ndani ya AFRIKA MASHARIKI (EAST AFRICA). NDANI YA MASAA 48 UTAKUWA UMEPOKEA KITABU CHAKO.

Tuma meseji yenye neno “UTAJIRI” kwenda WhatsAPP namba 0752977170, kuweka ODA YAKO.

MUHIMU; Endapo ukasoma kitabu hiki ukaona hakija kusaidia unaruhusiwa kupiga simu namba 0752977170 kuomba kurudishiwa Tshs 14,999 Yako, Pamoja na Gharama Ya Kukupotezea Muda Wako.

Kila Lakheri,

Shabiki Yako Namba 1,

AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|…

Karibu, www.somavitabu.co.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post