Utajisikiaje kama LEO Utakosa Kile Ulichotakiwa Ukipate Miaka 20 Iliyopita?…
Rafiki yangu Mpambanaji,
Kiukweli hata mimi ningejisikia vibaya sana,
…Kwasababu hakuna Binadamu anayependa kupoteza vitu vizuri, hata wewe apo SI NDIO?…
Mwaka 2003, Samweli na Lazaro walifanikiwa kuhitimu Elimu Ya Msingi Katika Shule Ya KIZIBA iliyopo Kata Ya MWAMGONGO Mkoani KIGOMA.
Hawa jamaa walikuwa ni marafiki wa kufa na kushibana tokea wakiwa shule ya msingi,
Kwa Mshangao!… Matokeo ya Darasa La Saba Yalivyotoka Yalikuwa Mazuri Kwa Samweli Lakini Kwa Bahati Mbaya Upande Wa Lazaro Yalikuwa Mabovu Sana.
Kwa ufupi Samweli alifauli na kufanikiwa kujiunga na Kidato Cha Kwanza, huku Lazaro hakifeli na kushindwa kuendelea na Kidato Cha Kwanza.
Aisee Lazaro alijisikia vibaya sana, kiasi kwamba alitaka mpaka kujinyonga nah ii ni kwasababu alisoma sana kwa bidii lakini matokeo ya mwisho yalivyotoka yakaonyesha amefeli.
Wazazi, Ndugu na Jamaa walimtia moyo sana, na kumshauri afanye kurudia darasa kwasababu waliamini angeweza kufauli kutokana na alivyokuwa akijituma.
Wote walishikwa na BUTWAAAH! Baada ya Lazaro kutoa kauli ya kwamba HATASOMA TENA!
…na hapo ndipo ukawa mwisho wa Lazaro KUSOMA, kwa lugha rahisi sana tunaweza kusema Lazaro alikataa mazima KUSOMA TENA!
Wazazi, Ndugu,na Jamaa walisikitika sana, baada ya kauli ya LAZARO aliyoitoa na msimamo aliouonesha.
Huku wakiamini LAZARO amepoteza uelekeo na hivyo hawezi kufanikiwa tena maisha yake yote,
…na hivyo ndivyo jamii ilivyokuwa ikiamini kipindi hicho, ya kwamba KUFELI SHULE NDIO KUFELI MAISHA,Yalisemwa mengi sana kuhusu LAZARO.
Lakini Lazaro hakujali hilo kufeli kwake kulimpa hasira sana, na kuamua kutoka Nyumbani Kwao KIGOMA alipokuwa akiishi na kwenda Dar es salaam kutafuta maisha.
Akiwa hana chochote lakini ALIAMINI KWA DHATI KABISA ATAFANIKIWA,
…aisee mwogope sana mtu mwenye IMANI YA DHATI KABISA.
Alikula msoto sana, hakuna rangi aliyoacha kuona, kulala kwenye mitaro, kulala njaa, kusimangwa, kutukanwa, kupigwa, kuitwa ombaomba,
…ilikuwa ni jambo la kawaida sana kwa LAZARO hakuna aliyempenda KWASABABU Maisha ya Mjini ukiwa hauna kitu hakuna atakayekuthamini wala kukupenda.
Lazaro alifanya kila kazi inayopita mbele yake lakini hakujali aliendelea kupambana.
Mda mwingine alikosa usingizi kabisa na hofu ikawa inamjia na kujiuliza NITAFANIKIWA KWELI? Lakini bado aliendelea KUAMINI ATAFANIKIWA,
Maisha yake yalianza kubadilika pale alipokutana na Mzee mmoja wa makamo hivii ambaye ni mmiliki wa hoteli moja kubwa ya KIFAHARI hapa jijini Dar es salaam,
…yule mzee alifanikiwa kuvutiwa na kujituma kwa LAZARO , hivyo akaamua kumuajiri kwenye hotel yake awe kama mfanya usafi, lengo na madhumuni ni kumsaidia tu,
Kwa sababu LAZARO alimpa historia ya maisha yake ya kimasikini, na kwa kuwa Yule mzee ni TAJIRI MKUBWA hapa mjini.
Lazaro alifurahi kufanya naye kazi, kwahiyo alijituma sana kiasi kwamba mpaka Yule Tajiri akaanza kumpenda na akawa anampa SIRI Za Utajiri Wake.
Mda mwingi LAZARO akawa akilini mwake ANAFIKIRIA JINSI YA KUFANIKIWA, akijiambia kwamba kama huyu mzee kaweza mimi nishindwe nina nini.
….aisee matendo ya Lazaro yakaanza kubadilika mpaka wafanyakazi wenzake wakawa wanamshangaa, yaani JAMAA ALIYEFELI WA DARASA LA 7, anafanya mambo makubwa zaidi ya WASOMI WENGI HAPA NCHINI,
Wakaanza kuvutiwa na LAZARO, wakipenda kujifunza kutoka kwake, kumbuka hapo mwanzo walikuwa wanamtenga na kumsimanga vyakutosha,
Kumbe bana, Matajiri wote wanatabia zinazofanana, Yule mzee pamoja na uzee wake ni MSOMAJI MZURI WA VITABU kuliko magazeti ya UDAKU,
Na moja ya SIRI KUBWA aliyompa LAZARO ni alimsisitiza sana awe anasoma vitabu vizuri,
…kwahiyo akamnunulia LAZARO VITABU VYOTE VILIVYOMSAIDIA KUPATA UTAJIRI, baada ya LAZARO kujua SIRI ZILIZOPO NDANI YA VITABU,
Maisha ya LAZARO yakabadilika MAZIMA, kumbuka ni KIJANA ALIYEFELI DARASA LA 7 anasoma vitabu zaidi ya PROFESA.
Nakwambia baada ya miaka 10 kupita LAZARO Alikuwa anautajiri wa BILLIONI 5 (TSHS 5,000,000,000) Za kitanzania.
Kumbuka SAMWELI alifanikiwa kumaliza kidato cha 4, akaendelea na kidato cha 6, kisha akaenda chuo kikuu na kuchukua kozi ya MINING ENGINEERING( Uinjinia Wa Migodi) miaka 4,
…baada ya kumaliza chuo karudi mtaani hana kazi yakufanya, kwa kifupi hana KAZI.
Mtaani kwao napo wameanza kumchoka KWASABABU HAKUNA ANACHOJUA ZAIDI YA MIAMBA , na hapo mtaani kwao hakuna hizo shughuli,
…aisee akawa hana msaada wowote kwa jamii inayomzunguka, ikawa yeye ndiye wakusaidiwa tena na jamii, badala ya yeye msomi kuikomboa jamii.
Basi 2015, Lazaro alifanikiwa kukutana na Rafiki yake SAMWELI, aliporudi NYUMBANI kusalimia WAZAZI WAKE,
…huku LAZARO Akiwa BILIONEA na SAMWELI akiwa Masikini wakutupwa, yaani hii hali ilileta sintofahamu sana kwenye jamii yani YULE ALIYEFELI NDIO TAJIRI na Yule Aliyesoma Ni MASIKINI.
Wanakijiji walisikitika sana na waliona haibu mno kwasababu waliyemsema ATAFELI MAISHA, ndiye aliyetoboa .
Lazaro alipendwa sana, na kujiisi MWAMBA, yani alijiona kama RAISI wa Kijijini kwao.
Amakweli Utajiri una RAHA yake.
MWISHO: Wanakijiji wakahitimisha Kufeli shule sio kufeli maisha, mafanikio hayana ubaguzi ukizijua siri na kuziishi kanuni za mafanikio ni lazima ufanikiwe.
IMANI ni msingi wa Mafanikio LAZARO aliamini kwa dhati kabisa hata kama amefeli shule atafanikiwa na kweli kafanikiwa.
Ikawa kinyume na LAZARO na JAMII wali AMINI sana kwenye shule.
MWISHONI; Wakahitimisha kwamba ELIMU NZURI NI ILE UNAYOJIFUNZA KILA SIKU KUTOKA KWA WALE WALIOKUTANGULIA ,
…na kama unataka UFANIKIWE KWA VIWANGO VIKUBWA SANA, wewe SOMA VITABU nasio MAGAZETI YA UDAKU.
Utajisikiaje kama nikikuambia LAZARO alitumia SIRI na KANUNI ZOTE zilizopo ndani ya KITABU KIPYA kinachoitwa TABIA ZA KITAJIRI?…
Aisee hata mimi mwenyewe nilishangaa kama unavyoshangaa apa,
…yani kijana wa Darasa La 7 anayejua kusoma na kuandika kwa ufasaha kumzidi kijana wa CHUO KIKUU.
Wala hata usiwe na wasiwasi, ni hali ya kawaida sana, kama LAZARO kaweza wewe ushindwe unanini?
Si Ndio Apo?
Na ni vipi kama nikikuambia WEEKEND hii NDIO MWISHO WA OFA Ya Kupata ZAWADI YAKO,
….ya kitabu cha TABIA ZAKITAJIRI?…
LEO utakipata kwa OFA ya Tshs 14,999Tu!Ukichelewa baada ya WEEKEEND Kuisha Utakipata Kwa TSHS 20,000.
KUMBUKA; Mwisho ni Tarehe 15|5|2022 Siku Ya Jumapili Saa 3 na Nusu USIKU.
Yaani kile ambacho ulichotakiwa kukipata miaka 20 iliyopita, kinapanda bei.
Nitumie Meseji Inayosomeka “UTAJIRI” sasahivi kwenye WHATSAPP NAMBA 0752977170.
NAMBA NI 0752977170,
Karibu,Wa.me/255752977170.
TAARIFA; Kitabu Cha TABIA ZA KITAJIRI kimefika KIGOMA Jana USIKU.
Kila Lakheri, Mpambanaji…Unaruhusiwa KUSHARE, Ili na wengine wajifunze zaidi.
Shabiki Yako Ninayekuamini,
AmryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|
Karibu, USOME www.somavitabu.co.tz