Hii Ndio Njia Wanayoitumia Kampuni Ya Tesla Kuongeza Kiwango Cha Faida.

Hii Ndio Njia Wanayoitumia Kampuni Ya Tesla Kuongeza Kiwango Cha Faida Kwenye Kampuni Yao

Rafiki yangu ni zamu yako sasa kutengeneza faida za kutosha kwenye biashara, endapo tu utaanza kuitumia hii njia hata sasahivi.

Na ni njia ambayo inatumiwa na makampuni makubwa yanayotikisa dunia kwasasa kama TESLA, APPLE N.k.

Na ukweli ni kwamba kadiri kiwango cha faida kinavyokuwa kikubwa,

… ndivyo biashara inavyokuwa na nguvu ya kukua zaidi.

Na wala hata haijalishi kwasasa unapata faida ndogo kiasi gani kwenye biashara yako,

… lakini ukianza kuitumia njia hii leo basi utaweza kuongeza faida mara dufu.

Lakini pia kuna njia nyingi za kuongeza kiwango cha faida,

….lakini njia hii Imethibitishwa kufanya kazi vizuri sana.

Njia hii ni KUJITOFAUTISHA NA WASHINDANI WA KIBIASHARA.

Na habari njema ni kwamba kujitofautisha ni sayansi hivyo unaweza kujifunza, hivyo fungua ukurasa 200 wa kitabu hiki cha CHUO CHA MAUZO .

Kama bado hujakipata unaweza kuweka oda yako sasa hapa https://wa.link/he2dsl

Na Hii Meseji Imetoka Kwa Rafiki Yako Anayekujali,

Bwana Amir Ramadhani,

|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

|SalesConsultant|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post