Njia 10 Za Uhakika Kupata Mpenyo Ambazo Zitakusaidia Sana Kufanikiwa Kwenye Kazi au Biashara Unayoifanya…. Rafiki Yangu Mkubwa, Mda sio mrefu utaenda kujifunza njia 10 za uhakika za kupata mpenyo
Category: VITABU
TAHADHARI; Usiruhusu Mwaka Huu Ukufanye Uwe Mnyonge Zaidi…TAHADHARI; Usiruhusu Mwaka Huu Ukufanye Uwe Mnyonge Zaidi…
Tahadhari: Usiruhusu Mwaka Huu Ukufanye Uwe Mnyonge Zaidi… Rafiki Yangu, Leo ukiweza kutenga Dakika 1 tu! YA kusoma hii makala fupi utapata nguvu na utaendelea kujiamini zaidi. Nakumbuka mwaka 2019
Kwa Watu Ambao Wanataka Kuishinda Hofu Siku Moja.Kwa Watu Ambao Wanataka Kuishinda Hofu Siku Moja.
Wewe Sio Mtabiri Mzuri, Hivyo Acha Kujiogopesha. Mara baada ya sultani wa dubai kuamua kusafiri baharini na baadhi ya wapambe wake. Siku iliyofuata walijumuika kwa pamoja kwa ajili ya kuanza
Jinsi Ya Kudhibiti Matumizi Na Bado Ukawa Na Maisha Bora.Jinsi Ya Kudhibiti Matumizi Na Bado Ukawa Na Maisha Bora.
Siri ya Utajiri ni ubahili,hii ni kauli ambayo wengi wamekuwa wakiitumia, na hufanya zoezi la kutengeneza utajiri kupewa taswira hasi. Kwa sababu ubahili ni kubana sana fedha na kujinyima, basi
Angalia, Jinsi Ilivyorahisi Kuokoa Muda Wako.Angalia, Jinsi Ilivyorahisi Kuokoa Muda Wako.
Unajua ni nini cha kikawaida kati yako na Jeff Bezos, Mark Zuckerberg, Bill Gates, Mukesh Ambani, Warren Buffett? Rasilimali ya kikawaida ambayo mnayo wote sawa ni MUDA. Kila mmoja amepewa
Niliacha Kutumia Mitandao Ya Kijamii Kwa Muda Wa Wiki 65. Na Hiki Ndicho NilichojifunzaNiliacha Kutumia Mitandao Ya Kijamii Kwa Muda Wa Wiki 65. Na Hiki Ndicho Nilichojifunza
Ni kauli aliyotoa Mr DAVID wakati anahojiwa na BBC. Pale David alipoamua kupumzika kutumia mitandao ya kijamii, Hakuamini kama angeweza kukaa nje ya mitandao ya kijamii kwa zaidi ya mwaka.
Imegundulika, Uraibu Wa Matumizi Ya Teknolojia Mpya Ni Chanzo Cha Sonona (depression) Kwa Wengi.Imegundulika, Uraibu Wa Matumizi Ya Teknolojia Mpya Ni Chanzo Cha Sonona (depression) Kwa Wengi.
Ulishawahi kufikiria Hili Lingetokea? Mtaalamu ALBERT EISNTEIN alishawahi kusema” Hatuwezi kutatua tatizo kwa kutumia kiwango kilekile cha uwezo wetu wa kufikiri tulichokuwa nacho wakati tunapata tatizo hilo”. Ukweli ni kwamba
Hatimaye, Njia Bora Ya Matumizi Ya Mitandao Ya Kijamii Imeanza Kutumika.Hatimaye, Njia Bora Ya Matumizi Ya Mitandao Ya Kijamii Imeanza Kutumika.
Ni masaa mangapi unatumia kila siku kuzurura kwenye mitandao ya kijamii? Unapaswa ufahamu hili miaka 20 iliyopita, kabla ya mitandao ya kijamii na simu janja hazijaingia kwenye maisha ya watu,