Jana Umeishika Simu Yako Mara Ngapi?
Rafiki Yangu Mkubwa,
Je umekuwa unaishika simu yako mara nyingi mpaka unaona imekuwa kero kwako?
Je umekuwa unatamani sana upate muda tulivu wa kufanya mambo yako ila simu inakuwa kikwazo kwako?
Najua hii ni changamoto kubwa kwenye zama tulizopo sasa na ndiyo maana nimekuandalia suluhisho la uhakika.
Suluhisho hilo ni kitabu cha EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.
Kitabu kinakupa mbinu za kuondokana na uraibu wa simu, mitandao ya kijamii, pombe, sigara na ngono.
Jipatie leo kitabu hiki ili uweze kuwa huru tena.
Kukipata piga simu au tuma ujumbe kwenda namba 0752 977 170.
Usikubali kuendelea kuwa mtumwa, jipe uhuru wako leo kwa kupata kitabu hiki cha *EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI*
Kwasababu Ya Maombi Ya Marafiki Zetu.
Leo unakipata kwa Tshs 14,999Tu Badala Ya Thamani Yake Halisi Ya $25.
Tuwasiliane kwa namba hii 0752977170.
Mwisho Ni Tarehe 19|10|2022, saa 6 mchana.
Karibu Sana.
Rafiki Yako Ninayekujali,
Bwana AmiriRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|