Wewe Sio Mtabiri Mzuri, Hivyo Acha Kujiogopesha. Mara baada ya sultani wa dubai kuamua kusafiri baharini na baadhi ya wapambe wake. Siku iliyofuata walijumuika kwa pamoja kwa ajili ya kuanza
Njia Rahisi Ya Kukuondoa Kwenye Umaskini Wa Kipato Na Madeni.Njia Rahisi Ya Kukuondoa Kwenye Umaskini Wa Kipato Na Madeni.
Niambie Kama Huyu Ni Wewe? Unajiuliza… Napata Fedha Nyingi Kila Mwezi , hivi huwa zinaishia wapi? Nawezaje Kutengeneza Fursa Zaidi Za Kifedha Kwenye Maisha Yangu? Nawezaje Kuongeza Kipato Changu Mara
Jinsi Ya Kuvuka Magumu unayopitia Kwenye Maisha Yako.Jinsi Ya Kuvuka Magumu unayopitia Kwenye Maisha Yako.
Wewe siyo wa kwanza kupitia magumu unayopitia haupo mwenyewe, amka endelea na mapambano. Ilikuwa ni majira ya saa nane mchana ,Msichana akiwa anamwendesha baba yake ambaye aliketi siti ya nyuma.
Unaingiza Kiasi Gani Cha Pesa Kwa Li saa?Unaingiza Kiasi Gani Cha Pesa Kwa Li saa?
Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini. Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika. Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni. Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “
Wakati Mzuri Wa Kukuza Biashara Yako.Wakati Mzuri Wa Kukuza Biashara Yako.
Katika vipindi vyote ambavyo binadamu wameishi hapa duniani, miaka mingi sana mpaka kufikia sasa, hakuna kipindi kizuri kuingia au kuwa kwenye biashara kama kipindi tunachoishi sasa. Ni upendeleo wa kipekee
Jinsi Ya Kudhibiti Matumizi Na Bado Ukawa Na Maisha Bora.Jinsi Ya Kudhibiti Matumizi Na Bado Ukawa Na Maisha Bora.
Siri ya Utajiri ni ubahili,hii ni kauli ambayo wengi wamekuwa wakiitumia, na hufanya zoezi la kutengeneza utajiri kupewa taswira hasi. Kwa sababu ubahili ni kubana sana fedha na kujinyima, basi
EBOOK YA TABIA ZA KITAJIRI, LEO unaenda Kuipata Kwa PUNGUZO KUBWA La 90%.EBOOK YA TABIA ZA KITAJIRI, LEO unaenda Kuipata Kwa PUNGUZO KUBWA La 90%.
Mafanikio sio mchezo wa kubahatisha. Ni mchezo wa kuzifuata kanuni na kuziishi kila siku. Hakuna kingine kinachowatofautisha wanaotajirika na wanaobaki masikini kama tabia. Hivyo kwa kuzijua tabia za kitajiri na
KITABU; EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.KITABU; EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI.
KITABU; EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI. Jinsi teknolojia mpya zinavyokufanya kuwa mtumwa na njia za kuondokana na utumwa huo. Hakuna anayeweza kubisha kwamba kumekuwa na ukuaji mkubwa sana wa teknolojia kwenye
Ishinde Hofu Leo Kwa Kufanya Hili Zoezi.Ishinde Hofu Leo Kwa Kufanya Hili Zoezi.
Hofu imekuwa kikwazo kwako? Adui mkubwa wa mafanikio ya watu wengi ni hofu. Wewe mwenyewe ni shahidi. Hofu imezuia watu wengi sana kuweza kuchukua hatua ili kufikia mafanikio kwenye maisha
Ongeza Thamani Yako Ulipwe Zaidi Kwa Kufanya Jambo Hili Kila Siku.Ongeza Thamani Yako Ulipwe Zaidi Kwa Kufanya Jambo Hili Kila Siku.
Wahenga waliwahi kusema “ELIMU HAINA MWISHO”. Wapo sahihi kabisa kwa sababu, Ili upate mafanikio makubwa, lazima uchague kuwa mwanafunzi maisha yako yote. Ujifunze kuhusu maisha na mafanikio kwa ujumla. Ujifunze