POKEA; Zawadi Maalumu Yenye Njia Zaidi Ya 10 Za Kukuza Biashara Yako Ndani Ya Siku 7 Tu!…
Rafiki,
Je upo kwenye biashara lakini umekuwa unakutana na changamoto na vikwazo ambavyo vinaizuia kukua?
Je umefanya biashara kwa muda mrefu lakini huoni ukuaji kwa biashara na kwako binafsi?
Je umekuwa unaendesha biashara lakini huoni faida nzuri?
Je una biashara nzuri lakini hupati wateja?
Na je unakazana sana kuuza lakini bado mauzo hayakui?
Kama umejibu ndiyo kwenye swali lolote hapo, nina habari njema sana kwako.
Leo unakwenda kupata ufumbuzi wa matatizo yako yote ya kibiashara na kubaki ukiwa na mkakati sahihi ambao utaiwezesha biashara yako kukua kwa mafanikio makubwa.
Utakwenda kujifunza jinsi ya kuweka maono makubwa ya miaka 10 ya kibiashara na yako binafsi ambayo yatakusukuma kufanya zaidi.
Utajifunza kanuni kuu ya faida na maeneo matano ya kuzingatia ili kukuza biashara yako.
Utaweza kuweka mpango wa masoko ambao una mkakati wa kupata na kutunza wateja wengi zaidi kwenye biashara yako.
Utaweza kuweka mpango mkakati wa kuongeza mauzo zaidi kwenye biashara yako.
Utatengeneza mpango wa uhakika wa kuongeza faida kwenye biashara yako.
Utaweza kuwaamsha wateja wa biashara yako waliolala na kurejesha wateja waliopotea ili kufanya mauzo zaidi.
Utajifunza jinsi ya kupata na kutunza wafanyakazi bora kwenye biashara yako.
Utauelewa mzunguko wa fedha kwenye biashara na mambo ya kuzingatia ili biashara isife.
Utayajua maeneo ya kupunguza gharama za kuendesha biashara ili kubaki na faida nzuri.
Utazijua namba 14 muhimu kwa ukuaji wa biashara yako, jinsi ya kuzipima na kujitathmini kwenye ukuaji wa biashara.
Na kama hiyo haitoshi, utaweza kuweka mkakati mkuu wa kujenga mahusiano mazuri na wateja kwenye biashara ili uweze kudumu nao kwa muda mrefu.
Habari njema kabisa kwako ni kwamba haya yote unayapata bure kabisa, bila ya kuingia gharama yoyote ile.
Ndiyo, kwa sababu sisi SOMA VITABU TANZANIA tunapenda sana wewe rafiki yetu mfanyabiashara ufanikiwe, tumekuandalia zawadi maalumu yenye masomo kumi yanayogusa maeneo muhimu ya ukuaji wa biashara.
Zawadi hiyo ina thamani kubwa, ingeweza kuchapwa na kuuzwa kama kitabu ambacho bei yake isingepungua tsh elfu 50 (50,000/=).
Lakini wewe rafiki wa SOMA VITABU TANZANIA unaipata zawadi hii bure kabisa, ikiwa na mafunzo hayo yenye thamani kubwa katika kuikuza biashara yako.
Unachohitaji kufanya ni kujaza fomu hiyo hapo chini kwa taarifa zako sahihi kisha utatumiwa zawadi hii moja kwa moja kwenye barua pepe yako (email) na wasap yako.
Rafiki, kilio chako cha changamoto zinazokwamisha biashara yako kimepata majibu, bila ya gharama yoyote unapata zawadi hii yenye thamani kubwa.
Jaza fomu sasa ili uweze kupata zawadi yako mara moja na uanze mkakati wa kukuza biashara yako kwa mafanikio makubwa.
Kama unakwama popote katika kupata zawadi hii, wasiliana nasi moja kwa moja kwa namba 0752 977 170.
Karibu sana rafiki yetu, biashara yako ni kitu muhimu kwako, tumia zawadi hii kuikuza na kuiboresha zaidi.
Jaza sasa hivi fomu ili upate ZAWADI MAALUMU YA KUKUZA BIASHARA.
Bonyeza Hiyo Link Hapo Chini Kupata Zawadi Yako.
Tunakupenda Sana.
Kutoka Kwa TeamYaSomaVitabuTanzania.
USISAHAU; Kutembelea Hapa www.somavitabu.co.tz