Siku 30 Za Kutenda Miujiza Kwenye Maisha Yako…

Siku 30 Za Kutenda Miujiza Kwenye Maisha Yako…

Mpendwa Mpambanaji,

Umekuwa unasikia watu wanatenda miujiza mbalimbali kwenye maisha yao?.

Wapo ambao wanapona magonjwa ambayo waliambiwa hayana tiba kabisa.

Wapo ambao wanafikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao licha ya kutokea mazingira magumu kabisa.

Na wapo ambao wanaweza kuona hatari au fursa kubwa kabla wengine hawajaziona na hivyo kujiepusha na hatari hizo au kunufaika na fursa.

Unaweza kuona kama watu hao wana bahati ambayo wewe huna, lakini hilo siyo sahihi.

Ndani yako wewe, kuna nguvu kubwa unayoweza kuitumia kufanya miujiza kwenye maisha yako.

Akili yako na mwili wako vina nguvu kubwa ya kufanya makubwa zaidi ya ulivyozoea, lakini nguvu hiyo imelala kwa kuwa hujui kama ipo na hujui jinsi ya kuitumia.

Labda nikupe mfano ili tuelewane vizuri, umewahi kukimbizwa na mbwa au mnyama mkali na ukajikuta umeruka ukuta mkubwa ambao ukiambiwa urudie kuruka huwezi tena?

Au umewahi kuwa kwenye hatari fulani na ukafanya kitu ambacho ukiambiwa ukirudie tena huwezi?

Hiyo ni mifano halisi kabisa ya nguvu kubwa iliyo ndani yako, ambapo pale inapohitajika, inatumika kukuepusha na hatari kubwa.

Sasa leo unakwenda kujifunza jinsi ya kuifikia nguvu hiyo na kuitumia kufanya makubwa kwenye maisha yako ya kila siku, na siyo kusubiri tu wakati wa hatari.

Kwenye kitabu kinachoitwa UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA, unapata nafasi ya kutambua nguvu kubwa iliyo ndani yako, iko wapi, unaifikiaje na unawezaje kuitumia kufanya makubwa ambayo kwa kawaida yanaonekana hayawezekani.

Baadhi ya yale unayokwenda kujifunza kwenye kitabu hiki ni;

Jinsi ubongo wako unavyofanya kazi na namna ya kuutumia vizuri.

Jinsi ubongo unavyotengeneza furaha na namna ya kuutumia kutengeneza furaha ya kudumu kwenye maisha yako.

Jinsi ambavyo wewe siyo wa kawaida, uwezo mkubwa ulionao na namna jamii inakuzuia usiufikie.

Jinsi ya kufanya tahajudi (meditation) na nguvu yake katika kukupa kile unachotaka kwenye maisha yako.

Jinsi ya kufikia ufahamu wa juu kabisa unaokufunulia yale yasiyoonekana kwa hali ya kawaida.

Jinsi ya kuikusanya nguvu ya mwili wako na kuiunganisha na nguvu kubwa inayoendesha ulimwengu ili uweze kufanya makubwa.

Jinsi ya kuusukuma mwili wako ufanye zaidi ya ulivyozoea hata pale unapojiona umechoka.

Ufunguo mkuu wa mafanikio yako na jinsi ya kuutumia kufungua kila mlango.

Haya yote unayapata kwa kina kabisa, pamoja na kujua hatua za kuchukua kwa kusoma kitabu cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.

Kitabu hiki kinakuwezesha wewe kujitambua na kuweza kufanya yale ambayo hujawahi kufikiri utaweza kuyafanya.

Hakikisha unakipata kitabu hiki na kukisoma, ili maisha yako yaache alama fulani hapa duniani.

Thamani ya kitabu hiki ni TSHS 50,000, na KWASABABU leo siku ya kuzaliwa bibi yangu utakipata kwa bei ya ofa ya TSHS 19,900 TU! OKOA TSHS (30,100) NZIMA. Imagine leo unakuwa mtu bora zaidi kwa kusoma tu kitabu chako cha UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA.

Kumbuka; OFA Hii Ni Ya Watu 13 Tu! Wa kwanza, tayari nafasi 3 zimeshachukuliwa kwahiyo wahi 10 zilizobaki. Wakishatimia kitabu kinarudi katika bei yake halisi.

Shtuka! Unasubiri Nini?

SASAHIVI! tuma meseji yenye neno” NGUVU” Kwenda WHATS APP 0752977170, kupata kitabu chako. Kama upo ndani ya mkoa wa DAR ES SALAAM tutakuletea ulipo na kama upo mkoani tutakutumia kitabu chako kwa basi, haijalishi upo mkoa gani ni lazima upate kitabu chako mara moja na kuanza kukisoma.

Endapo ikatokea bahati mbaya haujapata kitabu chako kutokana na changamoto za kiusafiri, usijali tutakutumia kingine na unakuwa umeokoa pesa zako ulizozitafuta kwa shida (Kwa Jasho na Damu).

MUHIMU; Kama utanunua na kusoma kitabu hiki na ukaona hakina manufaa yoyote kwako, unaruhusiwa kukirudisha na ukarejeshewa fedha zako bila kuulizwa chochote. Hivyo chukua hatua sasa, huna cha kupoteza lakini una mengi ya kupata.

Mpendwa Mpambanaji kumbuka utaacha alama nzuri hapa duniani, endapo tu utaanza leo kuwekeza kwenye maarifa sahihi, na maarifa sahihi utayapata ndani ya vitabu vizuri….

Shabiki Wako Namba Moja,

BwanaRama|CopywriterOfSomaVitabuTanzania|

Karibu, www.somavitabu.co.tz.

Ni 0752977170.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post