Jinsi Ya Kumgeuza Mteja Kutoka Mwangaliaji Mpaka Mnunuaji. Habari Yako! Rafiki yangu unayetaka kupata wateja wengi zaidi na kukuza mauzo yako mara mbili (2) zaidi ndani ya mwezi mmoja (1).
Month: November 2022
Jinsi Ya Kuuza Sana Bidhaa Zako Kila Siku Bila Kubahatisha.Jinsi Ya Kuuza Sana Bidhaa Zako Kila Siku Bila Kubahatisha.
Jinsi Ya Kuuza Sana Bidhaa Zako Kila Siku Bila Kubahatisha. Rafiki Yangu Mkubwa, Kama unauza bidhaa zako kila siku alafu ukija kujichunguza ni kama unabahatisha vile , nataka nikwambie kwamba
99.9; Imani Itakayokuwezesha Kufanya Makubwa.99.9; Imani Itakayokuwezesha Kufanya Makubwa.
99.9 ; Imani Itakayokuwezesha Kufanya Makubwa. Rafiki Yangu Mkubwa, Imani ina nguvu kubwa sana. Na wala hata usithubutu hata siku moja kuacha kuiamini ndoto yako. Na hata kama inachelewa, ingojee.
Umeshawahi Kujiuliza Kwa Nini Wateja Hawanunui Kwako?Umeshawahi Kujiuliza Kwa Nini Wateja Hawanunui Kwako?
Kwa Nini Hawanunui Kwako? Rafiki Yangu Mkubwa, Pale ambapo unakuwa na bidhaa nzuri alafu wateja hawainunui, Inasikitisha sana ,inahuzunisha sana, na inakatisha tamaa sana. Najua unavyojisikia lakini ukiweza kukaa hapa
100% Huyu Hapa Ndiye Anayekuloga Kila Siku.100% Huyu Hapa Ndiye Anayekuloga Kila Siku.
100% Huyu Hapa Ndiye Anayekuloga Siku Zote. Rafiki Yangu Mkubwa, Sasahivi Ukiweza Kumjua Anayekuloga Utamfanya Nini? Inauma Lakini Anayekuloga Hayupo Mbali Na Wewe Kabisa. Ukweli ni kwamba unajiloga mwenyewe kwa
9/10 Ukianza Kubadili Hiki Kitu Utakuwa Mtu Mwenye Ushawishi Mkubwa Sana.9/10 Ukianza Kubadili Hiki Kitu Utakuwa Mtu Mwenye Ushawishi Mkubwa Sana.
9/10 Ukianza Kwa Kubadili Hiki Utakuwa Mtu Mwenye Ushawishi Mkubwa Sana. Rafiki Yangu Mkubwa, Ondoka Na Hii, Ukiona bado hujafanikiwa ujue bado hujajua kuuza vizuri. Ukiweza kuziishi hizi falsafa 5
Unazo Sekunde 5! Kila Mtu Ni Muuzaji.Unazo Sekunde 5! Kila Mtu Ni Muuzaji.
Unazo Sekunde 5! KILA MTU NI MUUZAJI. Rafiki Yangu Mkubwa, hata wewe ni muuzaji, Waliofanikiwa sana wamekuwa ni wauzaji wazuri sana. Mfano wa majina ambayo yatakushangaza ni ; Steve Jobs,
Chuo Kikuu Cha Mauzo Tanzania.Chuo Kikuu Cha Mauzo Tanzania.
Chuo Kikuu Cha Mauzo Tanzania. Rafiki Yangu Mkubwa, Karibu Sana, Kwenye Chuo Hiki Cha Mauzo Tanzania. Kuwa huru kabisa kwasababu unastahili kuwa hapa. Na pia napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza
Unataka Kukuza Mauzo Ya Biashara Yako Mara 5 Zaidi Ndani Ya Mwaka Mmoja (1) ?Unataka Kukuza Mauzo Ya Biashara Yako Mara 5 Zaidi Ndani Ya Mwaka Mmoja (1) ?
Unataka Kukuza Mauzo Ya Biashara Yako Mara 5 Zaidi Ndani Ya Mwaka Mmoja (1)? Rafiki Yangu Mkubwa, Najua Unataka Sana Tu, Nakumbuka Miaka 11 iliyopita nikiwa kijana mdogo sana, ….nilikuwa