Hapa Hakuna Shotikati: Dawa Ya Deni Ni Kulipa Deni.

Hapa Hakuna Shotikati: Dawa Ya Deni Ni Kulipa Deni.

Rafiki Yangu,

Hapo nyuma,

Madam Agness alikuwa na madeni ya kufa mtu.

Ambayo yalimpelekea akose usingizi, awe na stress muda wote, ufanisi wake kazini ulishuka,

… na kibaya zaidi akawa ni mtu wa kuumwa umwa kila mara.

Kumbuka Madam Agness anaishi Kigoma-Tanzania.

Ana umri wa miaka 37.

Kwa kifupi madeni yalimtesa sana.

Alijaribu kuomba ushauri kwa watu wake wa karibu,

… lakini hakuna aliyempa ushauri uliofanya kazi kwasababu na wenyewe wanadaiwa na hawajui watalipaje.

Aliumia sana, mwisho kidogo akate tamaa, kabla hajakata tamaa.

Ghafla alikutana na post yenye kichwa hiki hapa .

*JINSI YA KUONDOKA KWENYE MADENI*

Kwenye Status kama hii unayoiona hapa.

Alisisimka sana,

Imagine alikuwa anaangalia Tv ikabidi aizime kwanza.

Ndio hapo akapata taarifaa kuhusu kitabu hiki cha

*ELIMU YA MSINGI YA FEDHA*

Mwezi wa 6 mwaka huu alitumiwa kitabu chake,

…na juzi jumapili niliwasiliana naye, anakiri sasahivi anayafurahia maisha, na hadaiwi tena na yeyote yule.

Nilichojifunza kutoka kwa Madam Agness,

Madam Agness ni Madam ambaye anapenda kufanyia kazi yale yote anayojifunza bila kupoteza muda.

Siri ni *ELIMU YA MSINGI YA FEDHA*

Piga namba hii 0752977170, Kupata kitabu hiki.

Leo unakipata kwa Tshs 19,999Tu! Badala Ya Thamani Yake Halisi $100.

Uzuri ukikilipia leo unapewa na kitabu cha* KWANINI MPAKA SASA WEWE SIYO TAJIRI*

Ofa hii imekuja kwa sababu wiki hii ni kumbukizi kifo cha BABA WA TAIFA, Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere.

OFA hii ni ya leo tu!

Rafiki Yangu Mkubwa,

Karibu Ni Kuhudumie.

Bwana AmiryRamadhani|CopywriterOfSomaVitabuTanzania||MjasiriamaliMjanja|

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Related Post